The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,848
Hahahaha hz fimbo tunazowapiga hawa wakora hawana hamu na cc, yn kimoyo moyo wanahisi bora nairaland kuliko hii battle [emoji3][emoji3][emoji3]Halafu pia wajue ndio maana watanzania huwezi kuwalundika kwenye cages kama broilers na ndio maana miji yetu ni mikubwa na imetanuka sababu kila mtanzania anataka kuishi kwenye eneo lake kubwa lenye fance na garden kubwa
Tofauti na Wakenya wamezoea kuishi kwenye slums na kwenye cages, yaani wanalo somo kubwa sana la kujifunza kuhusu Tanzania.