Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

safi [emoji122].. hiv mkandarasi akiwa anajenga mradi hapa nchini na akanunua mfano magari, coasters(shuttle) na vitendea kazi zingine.. vinakuwa ni mali yake au ya serikali?.. mradi uwe unajengwa kwa fedha za serikali
vifaa ni vya mkandarasi ila mara nyingi huwa wanauza vifaa hivi baada ya mradi! Pitia kampuni nyingi za barabara huuza vifaa kipindi cha kuondoka!
 
Nikija msa nafikia lincoln,ambapo wewe hata pua yako huwezi kuitia kule,hiyo nyumba niliyoishangaa ujenzi wake iko ng'ambo kule likoni mitaa ya lakers,mitaa hiyo na yenyewe ni kama nyumbani tu,hadi last year may nilikua huko we mbwiga komora096
huyo mhurumieni mziki alioupata kutoka mwanza hana hamu kabisa😂😂😂😂 hapa amebakia kuzuga asionekane kashindwa
 
huyo mhurumieni mziki alioupata kutoka mwanza hana hamu kabisa😂😂😂😂 hapa amebakia kuzuga asionekane kashindwa
Jamaa tunavyowaambia hali ya maisha kwao ilivyo wanajua tunaokoteza tu,kumbe tunaijua kwa kuwa na jamaa zetu kule,sasa huko lamu,maisha ya kule ndio hatari,ule mchele wao niliula tu sababu ndio ndugu zangu wanaula kila leo sikutaka kuwadisappoint 😀,maisha ni magumu kule hatari!
 
😂😂😂😂😂
66CD5BBC-353A-4C84-8E89-D4160D9ED423.jpeg
 
Jamaa tunavyowaambia hali ya maisha kwao ilivyo wanajua tunaokoteza tu,kumbe tunaijua kwa kuwa na jamaa zetu kule,sasa huko lamu,maisha ya kule ndio hatari,ule mchele wao niliula tu sababu ndio ndugu zangu wanaula kila leo sikutaka kuwadisappoint [emoji3],maisha ni magumu kule hatari!
Kweli kabisa, watu wa lamu wana maisha magumu hatari..
Ulishukia lamu wapi jomba[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi [emoji122].. hiv mkandarasi akiwa anajenga mradi hapa nchini na akanunua mfano magari, coasters(shuttle) na vitendea kazi zingine.. vinakuwa ni mali yake au ya serikali?.. mradi uwe unajengwa kwa fedha za serikali
Hivyo ni vifaa mali ya mkandarasi
Mara zote inakua hivyo
Japo mikataba inatofautiana
mali zisizohamishika kama camps za mkandarasi mara nyingi ndio haiwezi kuwa mali yake moja kwa moja sababu hawezi kumiliki ardhi Tanzania

Japo ana uwezo wa kubomoa camps akitaka ila wengi huziachia serikali kazi ikiisha
 
[emoji6][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] hizo nondo sasa....!!! ishia hapo mkuu usimalizie...

naipenda sana kenya yangu,,, kenya ni ulaya ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu yenyewe hiyo hapo,angalia iko kiwambaza hapo juu hamna nguzo yoyote,iliyoshikia,kwa vile ni ndugu yangu nilimuelekeza namna ya kufanya hapo zikae nguzo,nyumba kama hii TZ huwezi kujenga bila kibali,soon naifuta hii post mkuu 🤣,Geza Ulole hii ndio shida niliyoiona
 

Attachments

  • IMG-20200412-WA0015.jpg
    IMG-20200412-WA0015.jpg
    122.7 KB · Views: 12
  • IMG-20200412-WA0018.jpg
    IMG-20200412-WA0018.jpg
    173.8 KB · Views: 15
  • IMG-20200412-WA0021.jpg
    IMG-20200412-WA0021.jpg
    64.7 KB · Views: 14
  • IMG-20200412-WA0020.jpg
    IMG-20200412-WA0020.jpg
    83.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom