Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,804
- 107,234
Uyoga type! 😀 😀 😀 😀 !Kitu yenyewe hiyo hapo,angalia iko kiwambaza hapo juu hamna nguzo yoyote,iliyoshikia,kwa vile ni ndugu yangu nilimuelekeza namna ya kufanya hapo zikae nguzo,nyumba kama hii TZ huwezi kujenga bila kibali,soon naifuta hii post mkuu 🤣,Geza Ulole hii ndio shida niliyoiona