Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

High rise buildings in Nairobi
Screenshot_20200229-212203.jpeg
Screenshot_20200229-212527_Google.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mnafungua May 2020 hata reli na umeme bado kufika ama ni 2025?
Kwan we tatizo lako nini sio ww umesahau ulitaka km ya reli badae ukasema unataka kuona matofali ya stations yani sindano mwaka huu lazima iwaingie kwa namna yoyote😀😀💉💉💉💉
 
Ila Wakenya wa JF bana, kuna kipindi flan last year walikua wanashangilia Tunnels za SGR yao ya to nowhere humu ndani, kuanzia zinaanza kuchorongwa mpaka zimekamilika tena na wachina wakafanya na party kabisa

Zililetwa picha za phase 2 hapa maandishi ya kichina kila pembe ya tunnel

Leo wanaleta Wabongo mnaanza kulia kulia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom