Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ziko nyingi across Tanzania tena za viwango zaidi ya hizo zenu na gharama nafuu kulinganisha na hizo zenu moja imetangazwa kujengwa juzi Tabora!

See what $ 5 mln can do to a hospital complex!

See what $5 mln can do!

or check this one

Mabehewa tu hayo..hamna vifaa,
Wetu unafikiria wanataka majengo..
Kenya hospitali za county zote unakuta vifaa sio bongo kando na zile hospitali zenu tano kwngine unakutana na nesi wawili tu
Never, and never again compare Kenya with Tanzania in Health care delivery. Tanzania within 4 years of Magufuli has constructed 97 regional/ County hospitals, it is a continental history, there is no any country in Africa has done so.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeshindwa kupost hospitali mmetupiga nonsense......we are not stupid ccm extremists with blind patriotism magufuli syndrome. Hajawatoa ldc so bado zero bin zero
Nihitimishe kuwa kwenye suala la Afya, Kenya tumewapiga tatu bila dakika ya 80 (4 out of 5yr ya utawala wa Magu).. tusubiri dakika 10 zilizobaki (1 yr), pengine wanaweza kurudisha goli moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe.....hizi nyangau kitu wameshindia kenya ni hsdithi za vijiweni na kusema "naomba".....waendeleee...." kuomba".
Ordinary tanzanians sre living in absolute squalor lakini hapa hadithi wamejaza...nkt
Mabehewa tu hayo..hamna vifaa,
Wetu unafikiria wanataka majengo..
Kenya hospitali za county zote unakuta vifaa sio bongo kando na zile hospitali zenu tano kwngine unakutana na nesi wawili tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eat that....
Screenshot_20191222-231328_Adobe%20Acrobat.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeshindwa kupost hospitali mmetupiga nonsense......we are not stupid ccm extremists with blind patriotism magufuli syndrome. Hajawatoa ldc so bado zero bin zero

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira za nini kunyan 😂😂😂
Pitia huu uzi alafu urudi kusoma ulichokiandika.

Sometimes don't use alot of energy arguing with them.....tanzanians are a bit slow in understanding how modern world operates. Brainwashed by ccm and blind cultic patriotism to a fault that borders on stupidity. Even the best countries in terms of hdi still criticise their leaders.....but hii yao!!!smh
Then utasikia wakisema eti ni nyumba za mabeberu simply because they can't replicate the same in their country. Chuki na wivu zimewafika kooni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes don't use alot of energy arguing with them.....tanzanians are a bit slow in understanding how modern world operates. Brainwashed by ccm and blind cultic patriotism to a fault that borders on stupidity. Even the best countries in terms of hdi still criticise their leaders.....but hii yao!!!smh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndicho mnachokijua tu broken English cjui nani aliyewaongopea mkijua English ndo mnajua kila kitu ss we Tanzanians ni km wachina tu hatushoboki na lugha ya mtu km nyie mnavyoshobokea lugha ya mkoloni tunasema hatushobokei wakoloni km nyie ila namba mtaisoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem with our southern brothers is that they think going the Arab way of stupendous spending on aesthetics would immediately make the country attractive. You keep on forgetting that you first put wealth in people's pockets and see how the rest will fall in place. Just look at the air traffic between NBO and MSA. KQ has even been forced to use a dreamliner for such a short route. SGR has been full booked since November btw. GDP si kwa makaratasi tu

airTr.jpg
 
View attachment 1300962

Dreamliner has flown to Mwanza from Dar before! Wacha ujinga. .
 
Msee wachana na hizo nyangau........Kenya is developing fast but we don't bitch about it.....even in our village we have a very big hospital but i don't have the photos. KU HOSPITAL is obviously bigger than their so called "biggest in east Africa " lol

Sent using Jamii Forums mobile app
They build one thing and immediately rush to conclude they're ahead. Tz's progress in the medical sector is no doubt impressive but wenzetu hawataki kutuliza boli waende na pace yao and sort their own issues before competing. They have no idea we're leading the region in medical tourism. They forget even some head of states and senior government officials from EA and beyond seek treatment in KE

Kukosa self identity bwana, Mbona mpaite Graceland toka kwa Elvis Presley? Mbona msiipatie jina la Kibera? African names? Kila kitu majina ya watu? Kuanzia ndege mpaka estates!
Jameni kuna maeneo mengi yenye majina ya kiasili. Wacha wivu isikutoe maarifa. Kama mwenyewe aliona hilo jina linafaa je wewe nani kusema lingine?
 
Back
Top Bottom