Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
Number ipi?? Ya LDC ama? 😂 😂 😂Hiki ndicho mnachokijua tu broken English cjui nani aliyewaongopea mkijua English ndo mnajua kila kitu ss we Tanzanians ni km wachina tu hatushoboki na lugha ya mtu km nyie mnavyoshobokea lugha ya mkoloni tunasema hatushobokei wakoloni km nyie ila namba mtaisoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe zuzu kweli


