SIWEZI KUHAIBISHA JIJI LETU LA KISASA NA HIZO ORDINARY HOUSES ...,...nenda dubai ujionee hauwezi kuta kutu kama hizo same loooking dizain za miaka ya 1940 endelea kupost ili nichague hapo hostel bomba ili niwalete watoto wangu waje kukaa watakuwa wanaenda shule kwa private flight kuja dar in next year,,,,
sema sipendi kuwe namuingiliano kama huo maana hivyo viota vimekaribiana karibiana huwa hawapendi distab kabisa...


zingatia hilo lete angalau yenye fensi nitakulipa pesa ya udalali
Sent using
Jamii Forums mobile app