Hawana Hela, Kila mradi kenya lazima wakimbilie kuomba hela China,
Tena Kwenye suala la Transport kwa Ujumla wako Nyuma sana.
View attachment 1280102![]()
Tanzania Bank top in financial reporting in East Africa
CRDB was named best company in the region at this year’s FiRe awards.www.theeastafrican.co.ke
Bahati mbaya Vitu ambavyo sisi tunaanzisha wao hawana uwezo wa kufidia,
Mfano,
BRT
Bridges kama Kigamboni ama Sarenda?
Ama Ultramodern Healthcare facilities kama JKCI, MOI, Benjamin Mkapa ama Ocean Road Cancer Institute??
Tukianza sisi hawana Jeuri ya Kulipa Maskini wa Mwai Kibaki hawa![]()
Hapa hata kama internet ni expensive, we make the most out of it si kufuatilia tu udaku wa WCB
Tulifanya kitambo hzo na tunaendelea kuongeza...mtafika tu
Hayo majengo yanasikitisha kwamba nssf imeshindwa kuyamalizia hadi magu atoke madarakani au? Si wahusika wakamweleweshe huyo mkuu ili wamalizie hayo majengo yao au nayo watayapiga mnada kama dege estste?35 floors
33 floors
View attachment 1296574View attachment 1296575
Alaf kitu usisahau in ur life dar imeanza kujengeka within 12 yrs 🤣🤣🤣🤣🤣 lakini inawasumbua kichwa nashangaa unaniletea mpaka tower ya 27 floors 😂😂😂
Addis na Nairobi ndio wako kwenye ligi ya tall buildings,Dar ilishajitoa tangu Magu awe presidaa labda akitoka
We monkey janerose njoo wewe utuonyeshe slum dar maana wakenya wote waliokuja wameshindwa kazi my be Kenya slum vs Tanzania damposTanzanians i think shida yao ni exposure tu.....they talk big about tanzania but the moment you step foot there the abject poverty is so glaring that you wonder what is it that they are proud of.....Mombasa itself is more developed than daresalaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
We monkey janerose njoo wewe utuonyeshe slum dar maana wakenya wote waliokuja wameshindwa kazi my be Kenya slum vs Tanzania dampos
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona jinsi ulivyochanganyikiwa👆👆👆👆👆We know English not english!
Wakenya % kubwa ni madomo zege😂🤣🤣masta naona unataka umalize hapa hapa......wakati festo anashindwa kuimbisha ni domo zege...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe alivyo na hasira vile si akinikamata atanimeza😂😂..Hahahahahanenda kaibe uniletee
Leta picha ulizo piga acha porojoI have been to your country of ldc bro......and it ain't close to what you rant here about.......pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app