Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es Salaam kuna uswahilini lakini si kama hivi.Pongezi kwa serikali ya Kenya kwa kuangalia fursa zilizokuepo Nairobi.
 

Attachments

  • download (11).jpg
    download (11).jpg
    11.2 KB · Views: 8
  • download (12).jpg
    download (12).jpg
    7.8 KB · Views: 9
  • download (15).jpg
    download (15).jpg
    11.3 KB · Views: 10
  • download (17).jpg
    download (17).jpg
    8.3 KB · Views: 13
  • download (16).jpg
    download (16).jpg
    10.9 KB · Views: 11
  • download (8).jpg
    download (8).jpg
    9.8 KB · Views: 12
View attachment 1301168View attachment 1301170View attachment 1301173View attachment 1301174View attachment 1301175View attachment 1301179
BONGE MOJA LA TOURIST DESTINATION. Njoo Kenya uje ujionee.The biggest slum in EA.utapata tour guide na experience hauto pata sehemu yoyote Africa. Kenya the best slum destination in africa and the world. Come and help the pour because Kenya depends on it. Hio ni advertisement
Kenya watu wana maisha ya ajabu sana yn apo ndo capital city iko ivyo dah ebhn ichoboy01 tupia picha za ki-sumu tukaue panya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make your arguments based on metrics like population distribution, distance and accessibility from nearby counties. Devolution was only introduced for political reasons. Most counties don't even deserve to be termed as counties. You asked for five, I'll give you five.

Kiambu county
View attachment 1299825
View attachment 1299826
View attachment 1299832


MTRH kids hospital
View attachment 1299835
Chandaria Cancer centre in MTRH
View attachment 1299840



Nakuru county (covers an expansive area, mostly single storeys)

View attachment 1299866
View attachment 1299869
View attachment 1299858
View attachment 1299861
Wacha kurudiarudia majengo hiyo kiambu county hospital ni kenyatta teaching hospital na ipo Nairobi hiyo MTRH kids hospital ni kids wing! Kudanganya maana yake mmekosa cha kuonyesha!
 
Hivi hizo slums ama kama mnavoziita tourist attracion hauzioni hivi hapo umeona nyumba za undongo kama mlivozoea mjini.Tatizo kenya hamuezi kujenga mtu mmoja mmoja ukichukua nyumba moja hapo ukapeleka Nairobi huyo mtu nitajiri kikwenu.Huku tumezoea kujenga mtu mwenyewe na mtindo unaotaka kujenga sio mpaka ujengewe nyumba zilizo banana ambazo hakuna hata personal space between them
Personal space? 😂 😂 😂 Hivi, unajua maana ya space kweli? Hizo nyumba zimerundikana kila mahali bila mpangalio wowote space itoke wapi. Anyway we understand you. You just have low standards to the point that you can't even realize those things are not anywhere near being called a dream house. Endeleeni kujaza dream houses ndani ya jiji lenu la uswazi
 
Dar es Salaam kuna uswahilini lakini si kama hivi.Pongezi kwa serikali ya Kenya kwa kuangalia fursa zilizokuepo Nairobi.
The problem is that you are comparing Nairobi slums with your ordinary estates where 70-80% of the people live. See the difference? Outside slum areas, Nairobi is an organized city with decent houses something that can't be said of Dar where there are dream houses everywhere. Continue comparing Nairobi slums with Dar estates 😂 😂 😂
 
Tell us which public Hospital those people are going to Nairobi. The problem is that, we are talking about Public Hospitals which are accessible to poor people, while you are talking private Hospitals.

Lets compare what these two governments are doing for their people, how can you compare Private Hospitals which are not even responsible to the poor people, with Public Hospitals which treat poor people free of charges.

Sent using Jamii Forums mobile app
Which private hospitals have we posted here? Can you name them and screenshot that post?
 
The problem is that you are comparing Nairobi slums with your ordinary estates where 70-80% of the people live. See the difference? Outside slum areas, Nairobi is an organized city with decent houses something that can't be said of Dar where there are dream houses everywhere. Continue comparing Nairobi slums with Dar estates 😂 😂 😂
Wakati wkoloni wakiwajengea Nairobi Dar ilikua imeachwa.watu wamekuja kitambo na kusettle.watu wameishi miaka na mika.Serekali ilivyo ingia haikufuatilia mambo ya mipango miji. kwa sababu kunawatu wengi kwenye maeneo ambayo hayajapangwa haimanishi kwamba dar haijapangwa.lakini nairobi nikitu different maeneo ambayo hayaja pangwa ni mahali kama mabanda ya ndege. na pia huko mtu awezi aka stahmili kujenga huku zipo hizo estate unazo linganazo lakini watu hawapendelei hizo estate wanataka kujenga wenyewe lakini huko kwenu lazima anunue ama apange kwenye gorofa zilizo banana kama hakuna ardhi
 
Back
Top Bottom