Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,700
Enyewe ignorance ni kitu mbaya. Nyamwezi, even if you don't know something, can't youbdo a simple Google search uelimike kidogo. Mbona unakaza fuvu hapa?ulikua unaona kama hatuujui talanta vile 🤣 🤣 , yaaani unachopitia saaahv tanzania washapita miaka 1000 nyuma, kwenye swala la football we kaa kwa kutulia kabisa huna unachojua kuhusu sports and infact wakati tunakwambia talanta will neither have VAR, GOAL LINE TECH na HYDRAULIC SYSTEM ulikua unatuona kama hatujui talanta vizuri, kula chuma icho