komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Bwahahaaa...unaleta old town



Bwahahaaa...unaleta old town



8 lanes Morocco mwengeKwn mwakani mnazindua expreesways ngapi![]()
Niletee new town 😀😀😀 kwa vile Mombasa kuna new town unaniona mm mgeni sana mombasaBwahahaaa...unaleta old town![]()
Ndio na wewe uka amua kuchukua hzo picha uka poleka kule...Duh hii mombasa mbna ya kale kama zanzibar au macho yangu
Tulifanya kitambo hzo na tunaendelea kuongeza...mtafika tu8 lanes Morocco mwenge
8 to 12 lanes ubungo Kamara with two flyovers between
Kwhyo unapinga mombasa hakuna old town...Niletee new townkwa vile Mombasa kuna new town unaniona mm mgeni sana mombasa


Nataka unioneshe new town leo nicheke😀😀😀Kwhyo unapinga mombasa hakuna old town...
Mungu wangu![]()
Uhahahhaa kisu kimefika sawia kwenye mfupa😀Tulifanya kitambo hzo na tunaendelea kuongeza...mtafika tu
Leo mnashangilia mall na nynyi..si mlisema huaga mnapenda kwenda sokoni, imekuaje tena..
WANAFIKI UTAWAJUA TU![]()
Dungu la aina yake ktk bustani 😂The modern stadium in east and central Africa
View attachment 1279177
Ndinda mbna wajishusha kiasi hicho bana...tulia katika levels zako jombaDuh, Pumba Kweli.
Nimecheka sana😀😀😀😀😀
Sema tu swahiba wako alisahau kukutumia jomba ndipo ukamkumbusha leo akakutumia whatsapp...Kuna kitu nilisahau kushare nilipokuwa kwenye trip ya kutembelea mradi wa SGR wiki iliyopita
Kuna eneo baada ya mto Ruvu kunajengwa dry port.. hizi picha hapa chini ni uzio wa eka 60 zimezunguka hilo eneo.. baadae watatanua mpka ziwe eka 120 (phase 1). Lakini jumla ya eneo zima la dry port itakuwa ni eka 500 (baada ya phases zote za ujenzi wa hii dry port kukamilika)
View attachment 1279385View attachment 1279387View attachment 1279389View attachment 1279390View attachment 1279391View attachment 1279392
picha nilipiga treni ikiwa inatembea
huu uzio wa seng’eng’e ni sehem ambayo extension ya port itafanyika.. ila uzio wa matofari ndo uzio wenyewe (naamanisha hautabomolewa.. ni fixed)
View attachment 1279401
Kwhyo unapinga mombasa hakuna old town...




Nataka unioneshe new town leo nicheke![]()
Mombasa yote ni old hakuna kitu new hapo😀😀Jibu kwanza![]()
Umekasirika buda😀😀😀😀😀Sema tu swahiba wako alisahau kukutumia jomba ndipo ukamkumbusha leo akakutumia whatsapp...
Hapa lazima povu litamwaika sana