Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hawa watu ukiskia anaongea unaeza Kenya iko Europe kumbe uozo mtupu alaf kitu unaeza shangaa wanaeza tumia nguvu nyingi kusifia kitu wasionacho
Kweli kabisa mimi nilikuwa nawaona wanavyojisifia na shirika lao KQ nikazani ni bonge la shirika linaloshindana na Ethiopia airline

Kumbe shirika lenyewe ni uozo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka mimi nikuambie wakati wewe mwenyewe na serikali yako ya wakora mnajua mlipo kopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeletewa facts kq ina ndege 40, 20 wame lease na ishirini wanamiliki...
Sasa nynyi mmesema ya kwamba kq wanamiliki ndege 3 halafu wamekopa 17

17+3 ni 20...na wakati kq inaendesha ndege 40, sasa nataka utuonyeshe hzo ishirini zimeenda wapi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi KQ maana yake ni nini coz haiendani na long form ya kenya airways

Back
Top Bottom