Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you are the judge the jury and executioner.....lol.Tanzanians though
Acha kubisha vitu viko wazi, ndege 3 tu pekee ndizo ambazo zinamilikiwa na KQ, ndege 17 bado hazimilikiwi na KQ, ila KQ inaendelea kulipa kidogo kidogo hadi watakapomaliza deni ndio zitakua Mali ya KQ, ila KQ ikishindwa kumalizia deni, hizo ndege hazitokua Mali ya KQ.

Kumbuka kwamba KQ ilishindwa kulipa "creditors" wake jambo lililomfanya Uhuru Kenyatta aziombe hizo Banks zigeuze hiyo mikopo iwe ni "shares", jambo ambalo Banks nyingi zilikubali kwa shingo upande. Uwezekano wa KQ kushindwa kumalizia kulipia hizo ndege ni mkubwa sana, kama ilivyoshindwa kurudisha mikopo yake katika hizo Banks.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichoichelewesha Dar es Salaam Kukosa mpizani EA ni miundombinu ya barabara (Flyovers, Madaraja na Lanes za kutosha) hayo mambo ya SGR ya umeme na BRT ni nakshi ya kuhakikisha haina mpinzani. Kwa Flyover ya Ubungo, Lane za morocco to mwenge na kimara to kibaha zinatosha kabisa kwa wakenya kupagawa, zaidi ya hapo itakua ubishi tu
 
Beautiful Timau Kenya

timau.jpg


Northern Kenya. Marsabit - Moyale Road

Marsabit.jpg


Tarbe - Odha

Tarbe-Odha-Highway.jpeg
 

KLM upgrades aircraft on Tanzania routes
14 Jul 2019
KLM-upgrades-aircraft-on-Tanzania-routes-800x400.jpg

KLM’s new B787-10 Dreamliner is to operate the flight from Amsterdam to Kilimanjaro and Dar es Salaam.

The B787-10 is built with light materials, meaning it produces lower carbon emissions and less noise, and the large windows and spacious interior provide more room and comfort for passengers.


KLM’s first Boeing 787-10 Dreamliner has arrived! First revenue flight on 2 July
By
André Orban
-
1 July 2019

KLM_B78X.jpg
Arrrival of KLM Boeing 787-10 PH-BKA on 30 June 2019 © Paul Ridderhof

The new Boeing 787-10 Dreamliner, “Oranjebloesem” (Orange Blossom) registration PH-BKA, was delivered on Sunday. It was greeted at Schiphol with a water salute.

KLM is the first European airline to operate this more sustainable and economical aircraft. The Boeing 787-10 Dreamliner has the same efficient engines as the 787-9. The combination of these engines with the use of lighter materials in the 787-10 means it produces lower carbon emissions and less noise.

The 787-10’s design is highly sophisticated, with large windows and a spacious interior providing much more room and comfort.

This first KLM 787-10 Dreamliner will be deployed from 2 July on KLM services to Kilimanjaro and Dar es Salaam. KLM plans to have 15 Boeing 787-10s in its fleet by 2022.

Amstelveen, 01 July 2019

Nicxie n VIKING23

MY TAKE
First 787-10 dreamliner to land in any of the EAC
 
Kilichoichelewesha Dar es Salaam Kukosa mpizani EA ni miundombinu ya barabara (Flyovers, Madaraja na Lanes za kutosha) hayo mambo ya SGR ya umeme na BRT ni nakshi ya kuhakikisha haina mpinzani. Kwa Flyover ya Ubungo, Lane za morocco to mwenge na kimara to kibaha zinatosha kabisa kwa wakenya kupagawa, zaidi ya hapo itakua ubishi tu
mkuu umemaliza...nimepita pale ubungo aisee ile flyover ishaisha kwa kweli maana sehemu kubwa ishajipanga soon tunakuja kutishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom