kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Jengo kama ilo Kenya yangetoka mawili au matatu majengo yao ni membamba ila wanayarefusha
Janerose mapicha picha
Janerose mapicha picha
Jimama la nyalendwa slum
Jike shupa la Mombasa ngumi jiwe naona unajaribu kutetea Mombasa ,Wa tz tulisha wakubalia Dar vs Nairobi + metropol + Mombasa + chinya
Maana dar ni kubwa kinoma ndiyo maana nashindwa kujua kkoo ni wapi na upanga E na upanga W
1) UPANGA EAST
2) UPANGA WEST
1) KINONDONI A
2) KINONDONI B
1) MIKOCHENI A
2) MIKOCHENI B
mambo ni mengi muda ni mchaxhe "wajinga nyinyi"
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari sana.......mambo yanakuwa mazito .....sasa hivi sioni wakipost yale maandishi yaliyoandikwa juu ya paa
Hii barabara watu wanaweza ichukulia poa lakini ni ingenuity ya hali ya juu ya Magu, kuwa na matumizi bora ya fedha za umma. Badala ya fedha kutumika kwenye sherehe ya siku moja, watu wanateleza kwenye barabara kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Just a little twist but it made a huge impact.