Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

atii rich country MLDC ni upumbavu wa hali ua juu,,,,Hii society ya kikenya bhana.....inanifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pia inanisikitisha
download (1).jpeg
images (6).jpeg
download (2).jpeg
images (5).jpeg
download.jpeg
images (4).jpeg
 

Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    18.4 KB · Views: 23
PPF ni 134m.
Where is the confirmation it is 152m ppf hq?
..no one knows the final height ..hata wao ppf hq hawajasema ..halijafunguliwa officaly...
Na architectect anayehusika na hili alisema liko 160m last time topped out..
 
Wakiskia estates huleta ile mitaa yao ya kifahari...hawa jamaa zaidi ya ile mitaa yao ya kifahari kwngine ni ovyoo tu...watu wamejijengea vibanda tu
Ndugu yangu nimekuambia ulete estates zenu mambo na Umoja yanatokea wapi? Hizo picha nilileta kuna hadi za Kariobangi mnayoitanga slums. Pia kuna Donholm, South C, Buru Buru, Komarock, hadi Embakasi na zinginenezo (those are eastlands estates). Nikasema pia kwamba kama hamna, uko huru kuleta za kibera kujifariji. The choice is yours
 
Urefu za buildings huwa zinakuwa determined at the time of planning and designing. This is usually done to know how many meters will each storey take from the floor to ceiling. This has to be distributed to the total number of floors in that tower.
Kama mnazungumzia hii tower hapa nyote ni waongo coz hawajalifungua officialy na haijatajwa urefu wake View attachment 1205663View attachment 1205664
 
Ati vibanda vya ovyo, ulitaka zijengwe zile full suti za mabati au,
Estate ni kipimo kuwa wakenya hamna uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga nyumba zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Povu weka hapo chini
Wakiskia estates huleta ile mitaa yao ya kifahari...hawa jamaa zaidi ya ile mitaa yao ya kifahari kwngine ni ovyoo tu...watu wamejijengea vibanda tu
 
Basi wewe una ardhi gani na umekodi kutoka kw ccm....kwanza hyo ardhi ita expire baada ya miaka mingapi...33yrs?
Ati vibanda vya ovyo, ulitaka zijengwe zile full suti za mabati au,
Estate ni kipimo kuwa wakenya hamna uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga nyumba zenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Povu weka hapo chini
 
Top 5 tallest buildings in East Africa.
1. Britam tower(Nairobi) 200m,31floors
2. ADB Bank 7(Addis Ababa) 198m,48floors
3. GTC office tower(Nairobi) 184m,43floors
4. UAP tower(Nairobi) 163m,33floors
5. NIB Bank(Addis Ababa),35floors

My quiz is, kama top 5 East Africa ndio hampo,je mtaweza all of Africa.

Here are their pics. View attachment 1205474View attachment 1205476View attachment 1205481View attachment 1205482View attachment 1205483
Top tallest Kenya na sio Tz. Sisi ni level nyingine
 
muoneni huyu [emoji1787][emoji1787]

kwan hawawezi kuongeza floors nyingine zaid ya ambazo zipo kweny michoro au designing??

kumbuka jengo lolote linalojengwa huwa kuna extra carrying capacity yake ambayo unaweza kuitumia kuongeza hata floors au kitu chochote kizito kwa juu

uache ujuaji, ni heri kukaa kimya sometimes
You are just exposing your stupidity, if any floors are to be added, they will do so bearing the same floor to ceiling length of the other storeys. Remember that before they add those floors they will have to inform relevant gorvernment agency. So the added meters will be indicated kabla waanze kuongeza hizo floors zingine.
 
Eti kukodi ardhi [emoji23][emoji23][emoji23] ndio mnavojidanganya apo korogocho,
Zinaexpire umesikia ni soda.
Basi wewe una ardhi gani na umekodi kutoka kw ccm....kwanza hyo ardhi ita expire baada ya miaka mingapi...33yrs?
 
Wakiskia estates huleta ile mitaa yao ya kifahari...hawa jamaa zaidi ya ile mitaa yao ya kifahari kwngine ni ovyoo tu...watu wamejijengea vibanda tu
Hata hizo zao za kifahari bado hazifikii za kifahari za Nairobi. The only estate ya maana niliona huko ni Msasani. It is organized with very decent roads and houses. Hiyo kidogo is well planned. zingine zote ni uswazi tu
 
Back
Top Bottom