Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Top 5 tallest buildings in East Africa.
1. Britam tower(Nairobi) 200m,31floors
2. ADB Bank 7(Addis Ababa) 198m,48floors
3. GTC office tower(Nairobi) 184m,43floors
4. UAP tower(Nairobi) 163m,33floors
5. NIB Bank(Addis Ababa),35floors

My quiz is, kama top 5 East Africa ndio hampo,je mtaweza all of Africa.

Here are their pics. View attachment 1205474View attachment 1205476View attachment 1205481View attachment 1205482View attachment 1205483
Unaletaje magofu ( vitu ambavyo havijakamilika ) ??

hiyo GTC mchina hajaisha bado na yule wa Addis pia bado, watu wanazungumzia vilivyokamilika
 
Hii picha moja ulipost 2017, ukaiipost tena 2018 mfululizo, sasa tuko 2019 na bado unaipost tu kila siku.
Imekuumiza sana maana nimeshangaa munapost jam za magari nikajua mushamaliza😆😆😆😆😆😆
 
Waambie watuletee building kwa no za floors. Tunajua all buildings in kenya contain antenna.
Tunajua standard height per floor is between 3m to 3.8m watuambie hizo height zingine kwenye majengo yao zinatokana na nini!?
If that was the case, Ponte City apartment in Jo'burg would have been the tallest building in Africa at 55 floors. Urefu wa nyumba haupimwi na idadi ya floors but height
 
Tukiwaambia Dar yote ni slum hamsikii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini mzungu hakuona alipoeka sattelite juu ila akaona hiii😂😂😂😂👇👇👇👇👇
D711AC24-6C65-43BF-8E91-21B2AC6AE43E.png

Hehehe eti sisi hatuna slums[emoji23][emoji23][emoji23], Haya ndizo hizo sasa. One of them is Magomeni slum in Dar es Salaam. View attachment 1205182View attachment 1205183
 
So in East Africa top ten iko hivi
1. Britam (Nairobi) 200m
2. ADB Bank(Addis Ababa) 198m
3. GTC office tower(Nairobi) 184m
4. UAP(Nairobi) 163m
5. NIB tower(Addis Ababa) 160m
6. TPA(Dar) 157m
7. PSPF I (Dar) 153m
8. PSPF II (Dar) 153m
9. GTC hotel tower(Nairobi) 145m
10. Times Tower(Nairobi) 140m

Nairobi 5towers
Dar 3towers
Addis Ababa3towers
With mnara juuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawajui hiyo ponte city tower is just 173m. The tallest building in Africa now is this one, iko SA.
If that was the case, Ponte City apartment in Jo'burg would have been the tallest building in Africa at 55 floors. Urefu wa nyumba haupimwi na idadi ya floors but height
IMG_20190905_004341.jpeg
 
Huyu bwana Bomu la machozi anajihesabia na hadi ambavyo havijakamilika
Subiri hizo jengo zikamilike then tuweke mwenye list mzee

Mbona ukigoogle mwenye list huzikuti hizo jengo!!?

Watu wanazungumzia jengo zilizo tayari sio magofu hayo, mbona Dar kuna Mzizima tower A 35 floors na tower B 33 floors hatuzungumzii
 
Pole kwa maumivu.[emoji23][emoji23][emoji23].The tallest building in the world has iko na antenna refu kuliko GTC office tower.
With mnara juuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu bwana Bomu la machozi anajihesabia na hadi ambavyo havijakamilika
Subiri hizo jengo zikamilike then tuweke mwenye list mzee

Mbona ukigoogle mwenye list huzikuti hizo jengo!!?

Watu wanazungumzia jengo zilizo tayari sio magofu hayo, mbona Dar kuna Mzizima tower A 35 floors na tower B 33 floors hatuzungumzii
Ukileta their height ntainclude in the list.
 
Back
Top Bottom