Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwenye utalii Kenya sio level yetu tena
[emoji91] [emoji91][emoji91]
IMG_1568298072.213727.jpg
 
Tutahesabu hiyo 2022, 88Nairobi will be ready in 2021, River Estate will be ready in 2022
Basi subiri GTC mchina na ADB wakamilike hiyo 2021 ama 2022 kwasababu hazijakamilika

Iweje usubiri Pinnacle, 88NBO ushindwe kusubiri GTC!!!?
 
Minara are part of buildings, that's why they are counted. This building is tallest in the world just because of this antenna.
tapatalk_1567942475565.jpeg
 
My friend hizo zishakuwa topped out ndio maana tunazicount, umeona kama nimecount CBK tower? but it's almost the same height with Times tower.
Basi subiri GTC mchina na ADB wakamilike hiyo 2021 ama 2022 kwasababu hazijakamilika

Iweje usubiri Pinnacle, 88NBO ushindwe kusubiri GTC!!!?
This is CBK but sijaicount juu haijakuwa topped out bado.
efd79bd43e29faad9f33f7c34079ed54.jpeg
 
Natgeo sio watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji23] haya mapovu na wivu ni balaa zito leo.
 
Back
Top Bottom