Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A47AB63E-6380-4913-9A12-41F9047EC473.jpeg
B95585EA-7D91-4947-B574-68EC0143014C.jpeg
B1C0FF00-28A7-4DEA-8218-B0C9E2A18DA3.jpeg
54A7E25E-2AA9-4285-9B71-783259E1BE57.jpeg
 
Goodnight from the green
Naona unazitafuta sana kama kutafuta shilingi kwenye giza 😂 😂 😂
Hebu leta aerial photos za mitaaa za kawaida kama nilivyofanya hapo juu. Kama hamna mnaweza pia leta za kibera kama kawaida yenu 😂 😂
Umeanza kulia nilijua lazma ulie🤣🤣🤣 endelea kupost zile estate za umoja alaf uache slums ambazo wanaishi 3/4 ya wakazi wa nairobi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio kibera tu zipo zaidi ya 40👇👇👇👇
Sehemu ambayo nguruwe hawezi kuishi
5781B60B-4B10-470C-BBF9-C060ADEC962B.png
 
Eti sehemu zilipangika ni mbili tatu tu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unafikiri Nairobi ni kama Dar ambayo imepangwa mitaa za matajiri along the beach? The only estate iko well planned in Dar ni Msasani tu. Anyway here are some estates in eastlands. Nionyeshe ni wapi Dar imepangika hivi kama sio mitaa za kifahari
View attachment 1204839View attachment 1204840View attachment 1204841View attachment 1204842View attachment 1204843View attachment 1204848View attachment 1204850View attachment 1204852View attachment 1204855View attachment 1204856View attachment 1204858View attachment 1204859View attachment 1204860View attachment 1204861View attachment 1204862View attachment 1204863View attachment 1204864View attachment 1204865View attachment 1204866View attachment 1204867
Na hizo ni Mitaa za eastlands tu; Kariobangi, Donholm, Komarock, Buru Buru, South C, Umoja, Embakasi... etc
Tuonyeshe sehemu Kama hizo Dar tuone
We jamaa unashida sana
Njoo makongo tu hapa ustaajabu inameza vibanda vyote hivyo...
Goba, madale,tegeta mbweni Ni moja ya maeneo safi kabisa,izo vibanda vinakunyima usingizi kisa nn
 
Umeanza kulia nilijua lazma ulie🤣🤣🤣 endelea kupost zile estate za umoja alaf uache slums ambazo wanaishi 3/4 ya wakazi wa nairobi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndugu yangu nimekuambia ulete estates zenu mambo na Umoja yanatokea wapi? Hizo picha nilileta kuna hadi za Kariobangi mnayoitanga slums. Pia kuna Donholm, South C, Buru Buru, Komarock, hadi Embakasi na zinginenezo (those are eastlands estates). Nikasema pia kwamba kama hamna, uko huru kuleta za kibera kujifariji. The choice is yours
 
We jamaa unashida sana
Njoo makongo tu hapa ustaajabu inameza vibanda vyote hivyo...
Goba, madale,tegeta mbweni Ni moja ya maeneo safi kabisa,izo vibanda vinakunyima usingizi kisa nn
Zinaninyima usingizi kwa sababu hamna hizo "vibanda" hapo Dar. What you have is uswazi stretching several kilometres in the most disorganized and confused manner without any form of planning. And by the way, hebu leta aerial photos za hizo mitaa ulizotaja hapo juu tuone. Kama hauna, leta za kibera
 
Ndugu yangu nimekuambia ulete estates zenu mambo na Umoja yanatokea wapi? Hizo picha nilileta kuna hadi za Kariobangi mnayoitanga slums. Pia kuna Donholm, South C, Buru Buru, Komarock, hadi Embakasi na zinginenezo (those are eastlands estates). Nikasema pia kwamba kama hamna, uko huru kuleta za kibera kujifariji. The choice is yours
Endelea kupost ni zile zile unarudia kila siku za umoja lakini 3/4 ya wakazi wa nairobi wapo kwenye super slums wakiishi maisha hata nguruwe hawezi kuishi😂😂😂😂😂 endelea kutafuta slum dar inaonesha unaakili nyingi kuliko mzungu wewe🤣🤣🤣🤣
 
I like how you are dancing to my tune. You are now free to bring kibera photos coz it's clear you don't have anything meaningful to show us from Dar is slum 😂 😂
 
Back
Top Bottom