Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Estate ni kipimo kuwa wakenya hamna uwezo wa kumiliki ardhi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya ina wenyewe nyie mpo mpo tu,
Unajivunia kukaa estate kwenye jamu na kelele.

Kwani estate sio kumiliki ardhi na nyumba ya mtu binafsi ? Wewe ni mjinga kabisa ,kwanza hizo estate ndizo zina mipangilio na ujenzi wa hali ya juu sio kama Dar mnajenga ki holela holela.
 
I hear Nigerians calling Eko Atlantic City The 'Dubai of Africa'. See the progress.
Hizo pia ni over 30floors
10200962_fbimg1568140344083_jpegeafdae888ae3a33f7ba5fa3a1326b741.jpeg
 
Ukipata time ebu search Eko Atlantic City and look at the plans, the existing structures and those still in U/C. Just give Eko Atlantic 5yrs and no city in Africa will be compared to it.
I think Nigeria bado sana. Hata majengo yao sio majestic kama Dubai. East Africa inaongoza kwa beautiful high rise buildings in the continent.
 
Dah adi raha wenzetu hawa, serikal yetu tz ilesema itafanya hvi kutengeneza fukwe zetu kuanzia koko beach mpaka sarrenda huku na plan tukaoneshwa sas sijui watafanya au ni stor tu lakn tusubir tu mana kama washaanza kushusha daraja refu kukatiza bahar kutoka koko adi surrender bas wanaeza tengeneza mana ilikua moja ya plan zao
Look at Luanda's beachfront.View attachment 1205872
 
Back
Top Bottom