[emoji38][emoji16][emoji23][emoji23]unaongea ulevi mkuu
swali kwanini mnasumbuka kushindana na DAR wakati hampo league yetu.....?
hamuoni kama mnajizalilisha...?
hamuoni kama mnapoteza mda ,au kwa kuwa hamna kazi za kufanya...?
aliye juu huwa anakausha kimya tu ni sawa na uende kwenye thread za wanyamwezi halafu ukacompete NAIROBI vs NEW YORK....fanya hivyo uone jinsi thread litakavyo doda hautopata commeng yeyote ya mmarekani na ukipata labda itapewa tusi tu...
nakuonyesha tu mfano vile jinsi aliyekuzidi kamwe hawezi kupapatika kwa aliye chini yake...
acheni ujinga jamii yenu ya kikenya ni poorest tu tena sana......msijipe tabu ya kujifariji no wonder in nairobi[emoji2][emoji2]