ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,470
- 88,596
ππππ Sasa Nai kuna ziwa au bahari? Sindano imekolea ππππKwani mnafikiria hata kuwa na render tu kama hii hapo Nairobi au umeshiba makande
ππππ Sasa Nai kuna ziwa au bahari? Sindano imekolea ππππKwani mnafikiria hata kuwa na render tu kama hii hapo Nairobi au umeshiba makande
Watakuja kusema hizi picha ni za kitambo wakati ni za July mwaka huu.View attachment 1165887View attachment 1165888View attachment 1165889View attachment 1165892View attachment 1165893View attachment 1165894View attachment 1165895View attachment 1165896View attachment 1165897View attachment 1165898
[emoji23][emoji23][emoji23] middle income ya kwenye makaratasi, wao wenyewe wanatambua hilo sema ni viburi tu wanavyoDo do do do hivi hawa jamaa mbona majengo yao huwa hawayafanyii finishing??? Yaani ni very ugly..hizo roads sasa,dah!!!
Hii middle income ni ya aina yake aiseee
Ugly render,design gani hiyo ya kichoko.Yaani a more than 3km suspension bridge badala iwe na eye apealing inakuwa ugly hivyo?
Ninaamini budget ya 2020/2021 fedha za dreamliner mbili zitatengwa. Ninaamini ndege nne dreamliner mbili na cargo mbili probably B777 zitaagizwa! Read to venture European routes!Ikija dreamliner nyingine Guangzhou itakuwa rahisi...plus London can start
Dawa imekuingia wewe ambaye kwenu hamna ndoto hizo halafu unawapinga wanaotekeleza.ππππ Sasa Nai kuna ziwa au bahari? Sindano imekolea ππππ
Mombasa kisumu hakuna kwani??? Likoni bridge toka mumeanza kutangaza ni miaka 50 sasa πππππππππ Sasa Nai kuna ziwa au bahari? Sindano imekolea ππππ
Nawaona mid income wa kunyaland[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Buda wale mawaziri wa chakula na nishati wa kunyaland walifuata nn kwenye makabidhiano ya ile dhahabu yetu iliyorudishwa toka huko kunyaland?Leta aerial view ya huruma hapa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barabara siyo rami tu wala siyo bora rami tunataka cbd yetu iwe ya kisasa Kwa kuwa qualityOle wangu ,kumbe CBD ya Dar barabara zake zinakaa kama Isiolo ama mathare ambapo lami ni kidogo sana? Now you see why Dar can't be the headquarters of int'l companies like Nairobi?
Buda wale mawaziri wa chakula na nishati wa kunyaland walifuata nn kwenye makabidhiano ya ile dhahabu yetu iliyorudishwa toka huko kunyaland?
Uchafu kama huo mtu anakuambia sio slums ni informal settlement ukiambiwa mnatumia less than 1% of your brain CPU capacity mnatoa povu,uungwana ni kukubali.Unfortunately the whole country iko na slums tupu sijui hamuoni aibu with your dream houses
Huruma ni mojawapo ya slum Kenya hivi Kenya kuna slum mobu!!!???
Sio mm usinilaumu ni google earth mzungu sio mjingaπππππππππHuo jichoboy huaga ywajichanganya tu...eti kisha ywaiita huruma slum wakati kuna ghorofa kibao na watu wamepanga kisha dar zile dream houses anakataa km zimepitwa na huruma