Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,151
- 17,896
Kumbe Dar pia kuna misitu? Maajabu haya
Kumbe Dar pia kuna misitu? Maajabu haya
Kumbe Dar pia kuna misitu? Maajabu haya
N yet u earned lesser revenues than TanzaniaYani wakati mnasherekea 1.5 million tourists sisi tuko 2 million! Number yetu mtasoma milele. Cha kushangaza ni kwamba nyinyi ndio wakubalike pili baada ya Waamerika kuja kutalii Kenya. Leteni kabisa hizo hela za madafu zenu tujenge nayo uchumi
N yet u earned lesser revenues than Tanzania
Sasa hapo nini cha ajabu!!
Huruma ni slum ,acha ubishi..
Jamaa atakuwa anaishi Huruma!
Kama kawaida yenu, ninyi mnafurahia idadi ya watalii, sisi tunafurahia idadi ya pesa. It is shame to have big number of tourist but revenue is almost half of what we get from tourism, that is what is known as "Working intelligently". Hahahaha, hahahaha.Yani wakati mnasherekea 1.5 million tourists sisi tuko 2 million! Number yetu mtasoma milele. Cha kushangaza ni kwamba nyinyi ndio wakubalike pili baada ya Waamerika kuja kutalii Kenya. Leteni kabisa hizo hela za madafu zenu tujenge nayo uchumi
Kama kawaida yenu, ninyi mnafurahia idadi ya watalii, sisi tunafurahia idadi ya pesa. It is shame to have big number of tourist but revenue is almost half of what we get from tourism, that is what is known as "Working intelligently". Hahahaha, hahahaha.
Hiyo ni University of Dar es salaam.Kumbe Dar pia kuna misitu? Maajabu haya
Bad news to kenyans[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
What about hela mnayopata nahis haijafika 1bn usd.number kubwa ila hela chacheYani wakati mnasherekea 1.5 million tourists sisi tuko 2 million! Number yetu mtasoma milele. Cha kushangaza ni kwamba nyinyi ndio wakubalike pili baada ya Waamerika kuja kutalii Kenya. Leteni kabisa hizo hela za madafu zenu tujenge nayo uchumi
Ndio ujinga wao ulipoishia hapo😆😆😆😆What about hela mnayopata nahis haijafika 1bn usd.number kubwa ila hela chache
Usijisumbue na mapicha mob.....posta,kariakoo na upanga ndio hizi hapaDowntown CBD
View attachment 1165416
View attachment 1165418
Kijitonyama
View attachment 1165419
View attachment 1165422
Upanga
View attachment 1165427
View attachment 1165430
Kariakoo (parts, Gerezani and Lumumba)
View attachment 1165431
View attachment 1165433