ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yani mzungu aweke satellite juu alaf asione slum in dar ila aone slum in nairobi😆😆😆 hawa jamaa hua wajinga sanaHatathubutu kuzoom hapo, aumbuke?
Yani mzungu aweke satellite juu alaf asione slum in dar ila aone slum in nairobi😆😆😆 hawa jamaa hua wajinga sanaHatathubutu kuzoom hapo, aumbuke?
Wanakua desperate sana linapokuja swala la kudili na DarWakishindwa hua wanaokota picha za google za nigeria na congo wakidhani ni dar😆😆😆😆😆 sasa kinachowaumbua dar hua hakuna udongo mwekundu
Wanakua desperate sana linapokuja swala la kudili na Dar
Huyu buda bwege sana, akiona chanzo chochote anaparamia. Na ndio nairobi ilivyo, anaweza pita mlevi akatoa povu wakaacha shughuli zao na kumsikilizaHivi umesoma habari nzima au umesoma kichwa cha habari tu? hiyo ni personal view ya mtu na ndivyo anavyoamini na kama unaamini hivyo pia haina shida ila huwa tunawapa dozi nzito tu.
Na wataisoma namba sana, leo nimepita njia ya kijitonyama nkazunguka nyuma ya makumbusho. Ebwanae, kuna viuyoga vinaoteshwa si mchezo, halafu kuna maeneo nimekuta jengo linajengwa panapana hivi na mpaka sasa lipo kama ghorofa tatu juu na linaendelea kupanda. Nimekua concerned na hili kwa kuwa linaonekana kama mall flan hivi ambayo sio ndogo. Ntatafuta render yakeHeheh unajua kinachowauma hawa wanashangaa kuona dar imejengwa within 13yrs wakat nairobi imeanza kujengwa 45yrs lakini maendeleo hakuna😆😆😆
Na wataisoma namba sana, leo nimepita njia ya kijitonyama nkazunguka nyuma ya makumbusho. Ebwanae, kuna viuyoga vinaoteshwa si mchezo, halafu kuna maeneo nimekuta jengo linajengwa panapana hivi na mpaka sasa lipo kama ghorofa tatu juu na linaendelea kupanda. Nimekua concerned na hili kwa kuwa linaonekana kama mall flan hivi ambayo sio ndogo. Ntatafuta render yake
Sure, Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na ikiwezekana pia Watanzania wamtunuku fursa ya kuongoza kipindi kirefu zaidiNa bahat mbaya kwako this time wamekutana na mwamba anafanya maajabu ya dunia 😆😆😆 wanamchukia maana kawabana kila pembe
Huruma slum😆😆😆😆👇👇👇👇
Akimaliza hii mitano zile big projects zitakua zimeisha zoteSure, Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na ikiwezekana pia Watanzania wamtunuku fursa ya kuongoza kipindi kirefu zaidi






leo niko na wewe...




Huruma slum


Alivyo nyumbu anadhani slum inapatiwa tathmini kwa kutumia picha za kuangalia eneo kwa mbali



uko na uswazi
Wakishindwa hua wanaokota picha za google za nigeria na congo wakidhani ni darsasa kinachowaumbua dar hua hakuna udongo mwekundu
Unafananisha Na dar sehemu hakuna slum pole sanaHapa tunalinganisha huruma vs dar uwanja wa dhambi esates...leo niko na wewe...
![]()
Kwan hzo video zinaonesha nn fungua au unaziogopa ni za moto hahahahHeheeeee!!!naona unatapatapa...leta aerial view hapa ya nyumba za huruma![]()
Fungua hzo video au ni za moto hahahaHeheeee!!!nmekukamata mpka unaleta random photos...![]()