Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo sawa Ila tumuimize raisi aweke hela ya kujenga barabara za cbd yetu vizuri ujenzi uzingatie njia za watembea Kwa miguu pia kama tukijenga km100 tu za cbd yetu tutakuwa tumefanya jambo la maana . wakina makonda na meya wa jiji letu hakuna kitu wanafanya bado mitaa ya cbd mingine aina rami hii kitu inaniudhi kishenzi
lengo la DMDP ni ilo tiari iko ela ilitengwa na ujenzi unaendelea .
 
Hapo sawa Ila tumuimize raisi aweke hela ya kujenga barabara za cbd yetu vizuri ujenzi uzingatie njia za watembea Kwa miguu pia kama tukijenga km100 tu za cbd yetu tutakuwa tumefanya jambo la maana . wakina makonda na meya wa jiji letu hakuna kitu wanafanya bado mitaa ya cbd mingine aina rami hii kitu inaniudhi kishenzi
Ole wangu ,kumbe CBD ya Dar barabara zake zinakaa kama Isiolo ama mathare ambapo lami ni kidogo sana? Now you see why Dar can't be the headquarters of int'l companies like Nairobi?
 
Uswazi maana yake ni slum??? au unaforce magoli ya hewani hahaha😁😁😁😁
Hizo ni slums tu tofauti na slums za kenya ni kwamba huku maskini na wenye nafuu wamejichanganya humo humo sasa unajichekesha chekesha kuna bwana unamtega?
Kama sio slums basi Tzn isiwe inapima plots ili ijulikane kuwa ni aina mpya ya makazi yamebuniwa na watzn
 
Uswazi hoyeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1165061
Uchafu kama huo mtu anakuambia sio slums ni informal settlement ukiambiwa mnatumia less than 1% of your brain CPU capacity mnatoa povu,uungwana ni kukubali.Unfortunately the whole country iko na slums tupu sijui hamuoni aibu with your dream houses
 
Airtanzania on higher business horizons

EAnrIIZXUAEzGij.jpeg
EAnrHkqWkAAKx2_.jpeg
EAnrG8GXUAI7alr.jpeg
 
Hizo ni slums tu tofauti na slums za kenya ni kwamba huku maskini na wenye nafuu wamejichanganya humo humo sasa unajichekesha chekesha kuna bwana unamtega?
Kama sio slums basi Tzn isiwe inapima plots ili ijulikane kuwa ni aina mpya ya makazi yamebuniwa na watzn
Wewe nilishakuzoea ndio maana hua sipati tabu 👇👇👇👇👇😆😆😆😆
974BC9E9-43FB-4F65-94F0-DEB5ED2C5443.jpeg
 
Ugly render,design gani hiyo ya kichoko.Yaani a more than 3km suspension bridge badala iwe na eye apealing inakuwa ugly hivyo?

Heheheh maumivu yakizidi muone daktari😆😆😆😆😆 3km hamutawah kua nayo mpaka yesu ashuke ndio mutajenga likoni bridge
 
Back
Top Bottom