Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaaaa!!umeumia kuona huruma imeendelea kushinda huo uwanja wenu wa dhambi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu km hv katika uwanja wa dhambi ni mwiko[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sio mm usinilaumu ni google earth mzungu sio mjinga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1166333
the-exterior-of-a-hospital-in-huruma-with-people-walking-past-on-a-M2D7JA.jpeg
 
Bwahahaaaa!!umeumia kuona huruma imeendelea kushinda huo uwanja wenu wa dhambi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu km hv katika uwanja wa dhambi ni mwiko[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1166388
Sasa hapo nini cha ajabu!!

Huruma ni slum ,acha ubishi..
 
Acha unisumbue na kunitesa ila hiyo poor and ugly design
Buda huna jipya, unacholalamika ni kuona rangi ya Bendera ya Taifa ukaona hamna jinsi ya kuitupia mtandaoni na kusema lipo kenya. Unajisumbua bure hapo ganda la ndizi sahau
 
Bwahahaaaa!!umeumia kuona huruma imeendelea kushinda huo uwanja wenu wa dhambi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu km hv katika uwanja wa dhambi ni mwiko[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1166388
😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇 so mzungu ni mjinga au sio yani aweke sattelite ya mabilioni alaf awe mjinga
9A40FC6D-C807-45F7-8754-D57ADB10A306.png
 
Mombasa kisumu hakuna kwani??? Likoni bridge toka mumeanza kutangaza ni miaka 50 sasa 😆😆😆😆😆

Munajifanya kujitapa hapa na hakuna kitu mumefanya cha maana😆😆😆

When they tried to build a Sigiri bridge in Budalang'i constituency.
dfed0432455f85aaf82e63707ac5fa7c_L.jpg
 
😆😆😆😆😆sigiri naikumbuka sana ilikua muda wa kuzinduliwa umekaribia alaf ikabutuka
Ilizinduliwa kabisa halafu ikabituka baada ya siku kadhaa! Kama si siasa za ukabila za tano tena Uhuruto wasingekuwa madarakani.

1_6.jpg
 
2018 wameingia 1.5milliion na tumetengeza 2.4b usd sasa mwaka huu wanafika 2million na tutaingiza 3b usd 👇👇





Kenya walipata pesa kwenye utalii less than 1b 2018😆😆😆😆 niliskia masai mara kuna hoteli mpaka 20usd per night

Yani wakati mnasherekea 1.5 million tourists sisi tuko 2 million! Number yetu mtasoma milele. Cha kushangaza ni kwamba nyinyi ndio wakubalike pili baada ya Waamerika kuja kutalii Kenya. Leteni kabisa hizo hela za madafu zenu tujenge nayo uchumi
 
Back
Top Bottom