komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Bwahahaa...sasa kati ya kenya na tanzania ni nani huo msemo unamlenga sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata marekani pia wana deni la $1trillion kutoka china...Hapo umejisema, kujionyesha ni kukopa hela nyingi ili ili budget iwe kubwa uonekane una gdp kubwa. Ila userious ni kufanya vitu chanya ambavyo haviwezi kuwa mzigo.
Wahenga walisema mchumia juani hulia kivulini, kauli hii ipo kinyume kwa baadhi ya wajinga "Kenyua kivulini ukalie juani"
So kukopa kufadhili bajeti ni bora zaidi kuliko kungojea mgao kutoka kw mabeberu...aka waume zenu...
Ile siku mtafikisha deni la $50bln tanzania...nchi inaporomoka kabisa