Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy...we tulia bana...au unataka kunirusha stimu zangu...karibu beer kwanza....
Mi na wewe tutachemshana kesho nikiwa fresh
1128770
 
That $30 bn budget is for paying the countries you owe money to. Steigler's gorge project imeongelewa na contractor alipewa $300 million ya kuanzia kabla hata budget haijatolewa. Just chill civil engineer, kama ni tender unataka it's quite late, Egyptians got it already.
Ni sawa..labda siku za usoni tender nitapata tu. Ninachosisitizia ni eti mnafadhili kwa pesa za ndani.

There is no shame in borrowing to finance a project..its a shame on the other hand to be fed propaganda and actually believing it.

Lakini kama kweli mnafadhili wenyewe heko kwenu.👏
 
Ni sawa..labda siku za usoni tender nitapata tu. Ninachosisitizia ni eti mnafadhili kwa pesa za ndani.

There is no shame in borrowing to finance a project..its a shame on the other hand to be fed propaganda and actually believing it.

Lakini kama kweli mnafadhili wenyewe heko kwenu.[emoji122]
Duh!!sijui nikupe nn walai...ume wamada kabisa
 
Enheeee!!!tumewazidi barabara,umeme,literacy level,niendelee
Taja mradi mmoja ambao, uliofanywa na GDP yenu wenye thamani ya $1B. Hahahahaha, endeleeni kuimba GDP, pesa yote mnagawana mishahara, na inayobaki inaishia katika mifuko ya wakikuyu, makabila mengine yanaishia Kibera.
 
Hta kikwete pia mlisema hvo hvo...magu nae kafikiria ni rahisi...hku gap linasonga tu...
Unajua komora sijajua rika lako lina range wapi BT mimi ka mtz najua tulipotoka na aina ya uongozi tuliokua nao... Tz ni nchi yangu na naishi tz so najua uwezo wa nchi yangu kama tungeamua kuwa serious toka zamani...
Napata nguvu ya kupaza sauti na kuona mwanga maana atleast tumepata mtu anajali Mali za nchi hii na kajitoa kwa dhati, hilo kwetu ni ushindi tayari.. Haijalishi tutatumia muda gani kufika tutakako Ila tunashukuru Mzee anainstall system ambayo hata nyie jirani mtaanza kuona faida ya Mali mlizokua mnatucheka tuliposhindwa zitumia kwa busara.
We're in the right track...
 
Maintenance sasa zimewashinda wameanza kupeleka nje 😀😀😀👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom