spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Vitega uchumi vingi Kenya ni vya nje pesa inapitiliza ndio maana hawaishi kukopa.Bajeti za sifa ili waonekane wana uchumi mkubwa barani Africa, lakini tuta wakimbiza na bajeti yao hio feki
Vitega uchumi vingi Kenya ni vya nje pesa inapitiliza ndio maana hawaishi kukopa.Bajeti za sifa ili waonekane wana uchumi mkubwa barani Africa, lakini tuta wakimbiza na bajeti yao hio feki
Kwani upo Dunia ipi? BTW it's sanjari and not sanjali!Kazi ya Sumry hiyo moja ya makampuni ya kizalendo yenye makao makuu sumbawanga
Of course good job but serikali kama iko xriac ku win potential ya drc no lazima izijenge bandari za kabwe,new kipili port,kasanga,Karema na Kigoma sanjali na barabara za kufika huko bandarini,pili road ya Matai to Zambia
Wabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapoNyang'au wanajitia kukakamaa tuu ila kiukweli wanakubali kuwa kasi hii hawaiwezi.
- SGR
- Rufiji dam
- MGR
- ndege
- terminal 3
- daraja la cocobeach
- flyover
- barabara
- BRT
- Meli
- bandari
Hizi zote zinafanyika kwa wakati mmoja.
Hua napenda sana wakenya wakiongelea GDP maana huo ndio ujinga uliopo akilini mwao hahahaga na huo ujinga ndio utafanya mkija kuamka tz itakua yaaniii hahahahah yajayo yanafurahishaWabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapo
Kila statistics inayotolewa inaiweka Tzn nyuma sana kwa Kenya ko muda wa kukenua meno bado sana
Huku ni kujifariji ndugu,100bln economy inakua kwa 6% huku 55bln economy inakuwa kwa 7%Hua napenda sana wakenya wakiongelea GDP maana huo ndio ujinga uliopo akilini mwao hahahaga na huo ujinga ndio utafanya mkija kuamka tz itakua yaaniii hahahahah yajayo yanafurahisha
Hiyo 100bn economy inayokua kwa asilimia 6 ni ya nchi ganiHuku ni kujifariji ndugu,100bln economy inakua kwa 6% huku 55bln economy inakuwa kwa 7%
Hivi mko xiriac kweli nyie ldc,mtakimbiza mwizi hadi mfe njiani bila kumkamata
Kenya auHiyo 100bn economy inayokua kwa asilimia 6 ni ya nchi gani
Huku ni kujifariji ndugu,100bln economy inakua kwa 6% huku 55bln economy inakuwa kwa 7%
Hivi mko xiriac kweli nyie ldc,mtakimbiza mwizi hadi mfe njiani bila kumkamata
Sio Kenya. GDP ya Kenya ni $74.94 Billion na growth rate yake ni 4.9%.Kenya au
Tuonyeshe maendeleo yanavyofanyika, acha kuzungumzia "theory za cooked figure, GDP lazima ionekane inachokifanya, otherwise endeleeni kuimba GDP sisi tunafanya mambo "on the ground"Wabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapo
Kila statistics inayotolewa inaiweka Tzn nyuma sana kwa Kenya ko muda wa kukenua meno bado sana
Wewe hua haueleweki Ni mtz au mkenya ,pili unaongea vitu vingi chenga chenga tuKazi ya Sumry hiyo moja ya makampuni ya kizalendo yenye makao makuu sumbawanga
Of course good job but serikali kama iko xriac ku win potential ya drc no lazima izijenge bandari za kabwe,new kipili port,kasanga,Karema na Kigoma sanjali na barabara za kufika huko bandarini,pili road ya Matai to Zambia
Acha ujinga wewe, onyesha hiyo $100B inafanya nini on the ground, au ipo kwa ajili ya kuitazama?. Sisi tumekutajia miradi mikubwa mitatu inayofanya na GDP yetu, wewe tuambia mradi mmoja pekee unaofanywa na hiyo $100B wenye thamani ya $1B.Huku ni kujifariji ndugu,100bln economy inakua kwa 6% huku 55bln economy inakuwa kwa 7%
Hivi mko xiriac kweli nyie ldc,mtakimbiza mwizi hadi mfe njiani bila kumkamata
Jamaa dishi limeyumba kidogo, Hahahahaha.Wewe hua haueleweki Ni mtz au mkenya ,pili unaongea vitu vingi chenga chenga tu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Haeleweki kwanza tufaham Ni wa wapi awe wazi,iyo itasaidia tufaham namna ya kumuelewa hoja zakeJamaa dishi limeyumba kidogo, Hahahahaha.
hizo data mlitoa kuzimu eh?Kenya au
😫😫😫😫 Wewe concetrate kwa hoja zangu tuWewe hua haueleweki Ni mtz au mkenya ,pili unaongea vitu vingi chenga chenga tu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
😜😜😜😜Jamaa dishi limeyumba kidogo, Hahahahaha.
Hizo statistics huwa mnazitoa wapi?😫😫😫😫 Wewe concetrate kwa hoja zangu tu
2020 tunaitafuta $70B this yr ndio tunajaza $61BHizo statistics huwa mnazitoa wapi?
Hakuna GDP yoyote Kenya ya kuizingua Tanzania, wote tupo sawa View attachment 1128388View attachment 1128389