joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mbona miradi tuliyokopa tunawaambia na hampingi mnakubali, lakini ile ambayo tunajenga kwa pesa za ndani tukiwaambia mnapinga?. Ukweli ni kwamba mpo na wivu kuona kwamba, miradi ambayo Kenya imeshindwa kujenga kwa pesa yake, Tanzania tunaweza.Ni sawa..labda siku za usoni tender nitapata tu. Ninachosisitizia ni eti mnafadhili kwa pesa za ndani.
There is no shame in borrowing to finance a project..its a shame on the other hand to be fed propaganda and actually believing it.
Lakini kama kweli mnafadhili wenyewe heko kwenu.[emoji122]
Kitendo cha Kenya kushindwa kumalizia reli hadi Kisumu baada ya China kukataa kutoa pesa, kinawafanya muwe na wivu zaidi na Tanzania inayoendelea ujenzi kwa pesa yake.
Kama ni propaganda, vipi mbunge wa upinzani aweze kukiri kwamba kila mwaka serikali inatenga pesa kwa ajili wa hiyo miradi?,