ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,065
- 3,218
MungikiKwani upo Dunia ipi? BTW it's sanjari and not sanjali!
MungikiKwani upo Dunia ipi? BTW it's sanjari and not sanjali!
hivi uliishawahi kuwaza tz ikifika hapo 100 bln dollar itafananaje! mnashangilia sana GDP.Wewe concetrate kwa hoja zangu tu
Joto la jiwe Mzee tuwashukuru walituamsha tulipokua tumelala... Si unajua msemo usimwamshe aliyelala utalala weweee!!! Ni zao yao sasa kuuchapa usingizi hebu tuwaache walale wale kidogo atakapokua anaondoka Mzee Magu ndio tuwaamshee washangae vizurAcha ujinga wewe, onyesha hiyo $100B inafanya nini on the ground, au ipo kwa ajili ya kuitazama?. Sisi tumekutajia miradi mikubwa mitatu inayofanya na GDP yetu, wewe tuambia mradi mmoja pekee unaofanywa na hiyo $100B wenye thamani ya $1B.
Pspf Golden jubilee tower
With 64% debt to GDP ratio😆😆😆Wabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapo
Kila statistics inayotolewa inaiweka Tzn nyuma sana kwa Kenya ko muda wa kukenua meno bado sana
Acha ujinga wewe, onyesha hiyo $100B inafanya nini on the ground, au ipo kwa ajili ya kuitazama?. Sisi tumekutajia miradi mikubwa mitatu inayofanya na GDP yetu, wewe tuambia mradi mmoja pekee unaofanywa na hiyo $100B wenye thamani ya $1B.
So hicho ndicho kigezo cha kwamba tanzania imeendelea...vitu ambavyo wengine wanvyo na vinafanya kazi zaidi ya miaka ya kuhesabu...Nyang'au wanajitia kukakamaa tuu ila kiukweli wanakubali kuwa kasi hii hawaiwezi.
- SGR
- Rufiji dam
- MGR
- ndege
- terminal 3
- daraja la cocobeach
- flyover
- barabara
- BRT
- Meli
- bandari
Hizi zote zinafanyika kwa wakati mmoja.
Hta kikwete pia mlisema hvo hvo...magu nae kafikiria ni rahisi...hku gap linasonga tu...Tz huu mwendo usipopungua mama angu miaka kumi hii majirani wataanza kuhamia hapa nyie subirin hahaahhaa
Hawa jamaa wanaona ni km dunia imesimama...ni kwao tu ndiko kuna miradiWabongo wanavyoongea as if wengine wamesimama,too late to catch up kumbuka watu wana GDP ya 100bln dolari sio leo au kesho kufikia hapo
Kila statistics inayotolewa inaiweka Tzn nyuma sana kwa Kenya ko muda wa kukenua meno bado sana
Enheeee!!!tumewazidi barabara,umeme,literacy level,niendeleeAcha ujinga wewe, onyesha hiyo $100B inafanya nini on the ground, au ipo kwa ajili ya kuitazama?. Sisi tumekutajia miradi mikubwa mitatu inayofanya na GDP yetu, wewe tuambia mradi mmoja pekee unaofanywa na hiyo $100B wenye thamani ya $1B.
Kemu wewe tuonyeshe huo mradi wa $1blnAkikuonesha nitag![]()
Tuna miradi worth billions of dollars, sgr for example, halafu ni fedha za ndani. Unataka niendelee.Kemu wewe tuonyeshe huo mradi wa $1bln
Enheeee!!kwhyo kenyan sgr ina worth millions...nitajie mwngne...nataka nione ujinga wenu leo..yani game pole pole hamna matusi pleaseTuna miradi worth billions of dollars, sgr for example, halafu ni fedha za ndani. Unataka niendelee.
Nitajie nchi iliyowahi kufanya miradi yote hiyo kwa mpigo, Afrika.So hicho ndicho kigezo cha kwamba tanzania imeendelea...vitu ambavyo wengine wanvyo na vinafanya kazi zaidi ya miaka ya kuhesabu...
Duh!!kwel..maskini akipata matako hulia mbwata..nimeamini leo sasa..
Mradi wa Rufiji hydroelecric power $3.9Billion ni mkubwa kuliko maradi wowote mliowahi kufanywa kenya toka dunia iumbwe (kenya SGR ni $3.6 Billion).Kemu wewe tuonyeshe huo mradi wa $1bln
Kwhyo kw kufanya kw mpigo ndicho kigezo cha kuwa nyinyi ni bora afrika nzima...asante sana kw kunijuza km wewe ni ccm machineNitajie nchi iliyowahi kufanya haya yote kwa mpigo Afrika.
Mradi wa Rufiju hydroelecric power $3.9Billion ni mkubwa kuliko maradi wowote mliowahi kuufanya kenya toka dunia iumbwe (kenya SGR ni $3.6 Billion).
Talking about bigger than... 😉
Kwhyo rufiji ndio dam ya kwanza tanzania auNitajie nchi iliyowahi kufanya miradi yote hiyo kwa mpigo, Afrika.
Mradi wa Rufiji hydroelecric power $3.9Billion ni mkubwa kuliko maradi wowote mliowahi kufanywa kenya toka dunia iumbwe (kenya SGR ni $3.6 Billion).
Talking about bigger than... 😉