Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
We basi unamtazamo gani...nyote mnaongea kitu kimoja...uanfikiria maneno yenu hatuyajui...kwn nani aliyeanza kusema pesa za ndani...si ni mkulu, we ni fuata upepo tu...mi hakuna siku nitamuamini rais kw asili mia moja...
JPM where are you heading us to? You treat this country so fine😍😍😍😍😍😍
Wee jamaa una ndoto za bunuazi. Marekani anadaiwa na mchina na huku anauwezo wa kumtunishia misuli ilhali nyie mnatukanwa na mchina na mambo chungunzima kwa kadeni ka $8 billion. unaona tofauti hapo? Hivi wewe unajielewa?Bwahahaa...sasa kati ya kenya na tanzania ni nani huo msemo unamlenga sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata marekani pia wana deni la $1trillion kutoka china...
So kukopa kufadhili bajeti ni bora zaidi kuliko kungojea mgao kutoka kw mabeberu...aka waume zenu...
Ile siku mtafikisha deni la $50bln tanzania...nchi inaporomoka kabisa
Sasa hapa umeongea nn...alafu nitajie mradi ambao ulitushinda kw maintanance..we unabwata tu...Buda kuna miradi tunafanya kupitia mikopo mbalimbali. mfano ring roads dom from afdb, msimbazi from world bank n.k ila watanzania wanapata ajira, wanajifunza vitu vipya na at the end tutafanya maintenance wenyewe na pia tutajiendesha wenyewe kuilipo hiyo mikopo, tofauti na nyie mnapewa mikopo, hampewi ajira na kwa wachache waliopata wanapewa ujuzi kiduchu mwisho wa siku hadi maintenance hamuwezi kufanya na mbaya zaidi wanaendesha mradi ni waliowakopesha na huku mkiendelea kulipa mikopo.
Na bado huawei anataka kuwekeza konza huku mnahost jeshi kambi ya jeshi la marekani.
Unajua ule msemo unaosema mafahali wawili wakipigana nyasi zinalala? Umebakiwa kuomba dua mabaya yasikukute maana hamna uwezo kwa sasa wa kudecide future ya nchi yenu. ukishakuwa malaya usiyejua kuamua kubaki na mume moja siku watapigania nyumbani kwako wakuvunjie nyumba
Kudaiwa kwel USA anadaiwa na mchina BT mikopo hiyo haiingiliani na kuwekeana mavikwazoWee jamaa una ndoto za bunuazi. Marekani anadaiwa na mchina na huku anauwezo wa kumtunishia misuli ilhali nyie mnatukanwa na mchina na mambo chungunzima kwa kadeni ka $8 billion. unaona tofauti hapo? Hivi wewe unajielewa?
Kumtunishia wapi..Wee jamaa una ndoto za bunuazi. Marekani anadaiwa na mchina na huku anauwezo wa kumtunishia misuli ilhali nyie mnatukanwa na mchina na mambo chungunzima kwa kadeni ka $8 billion. unaona tofauti hapo? Hivi wewe unajielewa?
Ona unavyoyumba, mteja mkubwa wa Tazara ni Zambia lazima tuelewane nae na mchina ana miradi mingi tu Zambia, Mizigo inayopita bandari ya Dar kutokana na Tazara sio kidogo buda na kwa taarifa yako Tazara inaeleweka kuliko hiyo sgr yenu. Kilichotushinda hapo ni kipiSasa hapa umeongea nn...alafu nitajie mradi ambao ulitushinda kw maintanance..we unabwata tu...
Tazara tu iliwashinda...
😀😀 Kaongeze bangi, hiyo uliyotumia haitoshiKumtunishia wapi..
Si amuwekee vikwazo km vile north korea km anauwezo huo...
Umesahau wachina wakiwapiga karate hko kwenu....
Anyway...
Ndio ninachomaanisha, wanadaiwa sawa but haiwafanyi kuwa watumwa wa huo mkopo kama ilivyo kwa hawa jirani zetu vilazaKudaiwa kwel USA anadaiwa na mchina BT mikopo hiyo haiingiliani na kuwekeana mavikwazo
Wuhuhuuuu!!!watumwa tukiwafanyia nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio ninachomaanisha, wanadaiwa sawa but haiwafanyi kuwa watumwa wa huo mkopo kama ilivyo kwa hawa jirani zetu vilaza
Hii naona kmeingia....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]😀😀 Kaongeze bangi, hiyo uliyotumia haitoshi
Ndio shida ya kula kwa mtereko, unataka kuniambia hujui hata kidogo jinsi china ilivyopitia wakati mgumu kufikia hapo walipo? Ndio maana wanawatukana maana walishawasoma mnataka kutelezea ganda la ndizi. buda lazima mpitie wakati mgumu, ukitaka mteremko utakua mtumwa. bado hujajifunza kwa yanayowatokea tu!Na kodi pia zizidi kuongezeka kila sekta pia..km ya uwepo wako tanzania, kodi ya kuvuta hewa
Sasawa....watumwa km vile waarabu na wahindi walivyoushika huo uchumi wenu wengine wakibaki maskini...au ilkuwa wamaanisha utumwa ganiNdio shida ya kula kwa mtereko, unataka kuniambia hujui hata kidogo jinsi china ilivyopitia wakati mgumu kufikia hapo walipo? Ndio maana wanawatukana maana walishawasoma mnataka kutelezea ganda la ndizi. buda lazima mpitie wakati mgumu, ukitaka mteremko utakua mtumwa. bado hujajifunza kwa yanayowatokea tu!
Kama hujajitambua subiria miaka iende uone jinsi mtakavyokuwa na historia ya kijingaWuhuhuuuu!!!watumwa tukiwafanyia nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe....waarabu na wahindi vipi hkoKama hujajitambua subiria miaka iende uone jinsi mtakavyokuwa na historia ya kijinga
Kodi ya kishamba ni kumlipisha mtoto nauli ya adult personSasa hapo kw hzo kodi za kishamba..
Hyo sio kodi....bwahahaaKodi ya kishamba ni kumlipisha mtoto nauli ya adult person
Waarabu na wahindi wanatulipisha kodi gani? hujui kitu weweKumbe....waarabu na wahindi vipi hko
Mbna wajichanganya...hao si ndio waume zenuWaarabu na wahindi wanatulipisha kodi gani? hujui kitu wewe