Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama watu kufanya biashara nchini kwako ni mwaume zenu basi nyie mtakua machangudoa maana hadi wasomali watakua waume zenu
Heheeee!!!sai imekuwa ni wafanyibiashara...bwahaha...

Wazungu wanaoishi kenya si wafanyibiashara sio....yani likija swala la kwenu mnajitetea...kenya mnatupia maneno makali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nenda kw list ya wafanyibiashara wakubwa kenya uone km kmetawaliwa na akina nani...
 
Heheeee!!!sai imekuwa ni wafanyibiashara...bwahaha...

Wazungu wanaoishi kenya si wafanyibiashara sio....yani likija swala la kwenu mnajitetea...kenya mnatupia maneno makali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe muda wote hata hunielewi. Na sikueleweshi mpaka uombe
 
Si ni nynyi mnasemaga tumempa shamba mzungu analima maua...na wakati ywalipa kodi....lkn bado mnakejeli serikali ya kenya

Leo kukupa ukwel kuhusu makanjibhai ku ushika uchumi wa tanzania imwkuwa ni wafanyibiashara ...bwahaaa
 
Hta magu hilo swali hawez kujibu...atakwambia kawaulize watoto wa chekechea
Kumbe unaongea bila ushahidi, siwezi kujadili na mtu anaebahatisha maana tokea mwanzoni unaongea bila kwa kubahatisha. We nitajie moja hapo ndio ntaweza kuendelea na mjadala maana mpaka now nshaona hujui unachokiongea na ndio maana huwezi kutaja hata moja
 
Kamuulize mtoto wako atakujibu hilo swali
 
Tena umenikumbusha, ntamwelekeza kuwa siku akijikuta yuko na mungiki asijadiliane nao kwa namna yoyote maana wana mawazo ya kimaskini, wabaguzi na wakabila. Kuhusu wewe kuanzia sasa ukinijibu ntakaa kimya huku nkiashum ni kichaa kanyang'anya taulo na kukimbia nalo
 
Nilikuwepo hapo mwezi wa 4 hakuna contractor alikuwepo site but kama wanasema wameanza kujenga is good but kwa gati kama hiyo bilioni 4 ni fedha kiduchu sana at least ingekuwa 10bln
Hiyo road from sumbawanga to Kasanga is just 112km sasa since 2009 inajengwa hadi leo 10yrs haiishi haya ni maajabu
 
In comparison to the 6 along along Lake Tanganyika Onyesha bandari ya Kisumu hapa! Nyie mna ziwa moja and yet bandari yake is in pathetic shape! Hatujengi miradi ya sifa sie! Tunaangalia mahitaji husika!
 
Back
Top Bottom