Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Kenya napafahamu vizuri sana yaani huwezi nidanganya kituKWA
Kwani waijua kivipi,si useme hapa
Kenya napafahamu vizuri sana yaani huwezi nidanganya kituKWA
Kwani waijua kivipi,si useme hapa
we huoni barabara wakati huo ilikuwa yafanywa ukarabati,,you think ata saa hii inakaa hivo umepostYesu shuka , eastleigh ninayoijua mimi? hahahahahaha eastleigh yenye wasomali wengi si ndo unayoongelea au kuna eastleigh nyingine nairobi? maana mimi ninayoijua ni hii
View attachment 1087971View attachment 1087972
Maeneo niliyopost na uliyopost hayafanani hata kidogowe huoni barabara wakati huo ilikuwa yafanywa ukarabati,,you think ata saa hii inakaa hivo umepost
kama hujui panakaa hivi sasa
View attachment 1087998
Tz bado hawachukua hizo mig-29 japo walipunguziwa bei kwa 50% bt hazijafika tz sababu ya gharama za matunzo ila jw ilipeleka pilot na engineer wakajifunze
Lakini Wariah(wasomali) wameharibu Eastleigh sanaYesu shuka , eastleigh ninayoijua mimi? hahahahahaha eastleigh yenye wasomali wengi si ndo unayoongelea au kuna eastleigh nyingine nairobi? maana mimi ninayoijua ni hii
View attachment 1087971View attachment 1087972
On births, even though the national fertility rate shows a general decline compared to previous surveys, the latest findings show that Nairobi has a total fertility rate of 2.7, Central has 2.8, while Northeastern has 6.4(Province ya Wasomali) and Western 4.7.Yesu shuka , eastleigh ninayoijua mimi? hahahahahaha eastleigh yenye wasomali wengi si ndo unayoongelea au kuna eastleigh nyingine nairobi? maana mimi ninayoijua ni hii
View attachment 1087971View attachment 1087972
hawana hao zaidi na zaidi atavionyesha vile viwanja vya training za sarakasa



tukiondoa beaches kule zenji kumbe mombasa bado inazidiwa na zanzibar kwa kila kitu
hatari yaani kumbe mobasa ipo level ya kilocal ,,,,na inabidi kuanzia leo tusiishindanishe mombasa na Mwanza kwani mwanza ipo vizuri sanaSina muda huo, ila chukua hii ya Rock cityView attachment 1087886
Kwaiyo hata ujerumani hataki Tanzania ijiingize kwenye EPA ?EPA wajerumani wanasisitiza Tanzania haitaweza kufaidika na EPA
Umebanwa kwenye mji wa mombasa ukaona urudi kupost satellite views za "estates" jamani wakenya mna taabu, hii saturday muda kama huu kwa nini usitoke tu ukahave some fun in one of those malls you posted minutes ago, usiishie kuzigoogle tu, maana watu wengi a saturday afternoon is filled with activities za kurelax, sio kupost vitu kuonyesha chuki. Tafuta vitu vya kufanya, go watch a movie, shop, kama una garden kwenye back yard kamwagilie maua, nenda gym, au meditate



umeuwa mtu aisee,naona mshikaji anajifurahisha kwa kupost sattelite estate nakuiona nairobi ni bora duniani ,,,,,kumbe hamna kituaka LIttle MogadishuOn births, even though the national fertility rate shows a general decline compared to previous surveys, the latest findings show that Nairobi has a total fertility rate of 2.7, Central has 2.8, while Northeastern has 6.4(Province ya Wasomali) and Western 4.7.
On the regions with high fertility rates, Rift Valley comes a poor third, with 4.5, followed by Nyanza at 4.3, then Coastal fifth at 4.3, whereas Eastern is at position six with 3.4.
6.4 children per woman. Na Somalis are Muslims, they can marry up to 4 wives.So Kenyan Somali anaimport bibi kama wawili from Somalia. Boom Kenyan citizenship. Na birthrate yao by 2050 watakuwa the largest tribe in Kenya. Then wanahamia Nairobi(Eastleigh)
Twapenda sanaaka LIttle Mogadishu
Leo ichoboy01 ndio kakufundisha matumizi ya Google Earth naona, sababu tokea upewe hospital ya Mbeya via Google Earth ndio kama kipofu kaona mwezi, humu leo hatulali na hii mipichapicha yako mibaya.FOOTBALL PITCH AROUND THE SUBURBS OF NAIROBI
View attachment 1088137
View attachment 1088139
View attachment 1088142
View attachment 1088143
View attachment 1088144
View attachment 1088146
View attachment 1088148
View attachment 1088149
View attachment 1088155
View attachment 1088156
View attachment 1088158
View attachment 1088159
Mi nilimwambia kuwa humu sio CIA, tena anatumia google maps, kwakweli hawa watu wana taabuLeo ichoboy01 ndio kakufundisha matumizi ya Google Earth naona, sababu tokea upewe hospital ya Mbeya via Google Earth ndio kama kipofu kaona mwezi, humu leo hatulali na hii mipichapicha yako mibaya.
architecture ya wizi hii, hamna kitu hapo bob!
Na li OS lake XP la miaka ya world war I, PC yake ni zile za GB 2. HD 😁😁😁Mi nilimwambia kuwa humu sio CIA, tena anatumia google maps, kwakweli hawa watu wana taabu
Na li OS lake XP la miaka ya world war I, PC yake ni zile za GB 2. HD![]()



jamaa anazingua sanaFurahisha bridge and Morocco - Mwenge road are Magufuli's signature ingenuity to allocate funds .vitu vya kawaida sana hivyo, Mwanza last year
View attachment 1087852
Dah, kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya ila ntamtetea jamaa hiyo ni Windows 7 japo kuwa nayo ni ya zamani pia.Na li OS lake XP la miaka ya world war I, PC yake ni zile za GB 2. HD 😁😁😁