Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DCE004F9-3048-4969-9DF6-9F49B55469B7.jpeg
 
Aiseee..
Kwa hili kwa kweli sina la kuongezea, usishangae ukisikia hata hii wamnaweka UMEME, ndio uzuri wa kuwa na pesa yako mwenyewe, unaamua ufanye vile utakavyo.
Huu unaweza kuwa ndo mpango mzima huko mbeleni, ukimsikila kadogosa alipoongelea sababu ya kutumia treni ya umeme mwaka jana Feb 2018 alisema serikali imefanya hivyo ili kuokoa fedha za kigeni ($$).

Tunatumia dola nyingi kuagiza mafuta na kuwapa ajira wengine ila tukitumia umeme tunaizungusha pesa yetu hapo hapo, tutaongeza ajira na kuokoa fedha zetu za kigeni. Pia hata kama mafuta yataadimika sisi kwa kuwa tuna bwawa kubwa la umeme, sekta ya usafirishaji haita athirika.

Jamani Mungu anatupenda sana Watanzania kwa kutuletea Magufuli, Rais hakusoma uchumi ila anaujuwa vizuri sana ndo maana kila siku tunasikia watu wakilia lia huko kwenye vijarida vyao.
 
Back
Top Bottom