Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujenzi wa stendi ya mabasi wilaya ya njombe👇👇👇👇👇
00F4C020-D24D-41E0-925F-5E761F1CECDA.jpeg
 
shua yaani serikali inabidi waingalie sana hiyo airport iwe yakisasa sababu inaingiza sana mapato na nafasi ipo ...

pale wakipiga desgning moja matata yaani jengo linakuwa muundo wa kama mlima kilimanjaro ndani full sanamu za wanyama aiseee itakuwa ni matata hatari,,,,na siku moja moja dressing za wahudumu zinavaliwa kimasai aisee inakuwa ni bonge la culture

Kabisa, wenye kuweza wamkumbushe Magu kuhusu hili
 
725b ksh zimekopwa na kutumiaka bila bunge na serekali kujua
Alaf mtu anakwambia GDP hajui kama GDP imejumlisha loan zote walizokopa

umesoma hao marehemu wa ajali arusha, gazeti limeandikwa ni wakenya.
 
Back
Top Bottom