kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
vitu vya kawaida sana hivyo, Mwanza last year
View attachment 1087840View attachment 1087841View attachment 1087846View attachment 1087852
Kama unataka kuziona vizuri,here are some
vitu vya kawaida sana hivyo, Mwanza last year
View attachment 1087840View attachment 1087841View attachment 1087846View attachment 1087852
Whole mombasa is here😂😂😂👇👇👇
😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇
Whole mombasa is here😂😂😂👇👇👇
View attachment 1087875
As I said, ni vitu vya kawaida sana.
Narudia kukwambia ukipata stadium kama hii nje ya nairobi njoo tusungumze😆😆😆👇👇👇👇👇
View attachment 1087745
ukifikiria,mombasa ni city baba haiwezi toshea hapa😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇
leta hizo unique haziko mombasaAs I said, ni vitu vya kawaida sana.
Sina muda huo, ila chukua hii ya Rock cityleta hizo unique haziko mombasa
Umebanwa kwenye mji wa mombasa ukaona urudi kupost satellite views za "estates" jamani wakenya mna taabu, hii saturday muda kama huu kwa nini usitoke tu ukahave some fun in one of those malls you posted minutes ago, usiishie kuzigoogle tu, maana watu wengi a saturday afternoon is filled with activities za kurelax, sio kupost vitu kuonyesha chuki. Tafuta vitu vya kufanya, go watch a movie, shop, kama una garden kwenye back yard kamwagilie maua, nenda gym, au meditateSOME ESTATES IN NAIROBI,GOOGLE MAPS,KAMA TU USA
View attachment 1087885
View attachment 1087888
View attachment 1087890
View attachment 1087896
View attachment 1087897
View attachment 1087898
View attachment 1087899
View attachment 1087900
View attachment 1087902
View attachment 1087903
View attachment 1087904
mimi nimekupa picha ya CBD nzima wewe unanipa avenue moja, unadhani nani ana akili kuliko mwenzie?HII NI MTOTO SANA KWA MOMBASA
View attachment 1087908
Am at Two Rivers mall having fun dudeUmebanwa kwenye mji wa mombasa ukaona urudi kupost satellite views za "estates" jamani wakenya mna taabu, hii saturday muda kama huu kwa nini usitoke tu ukahave some fun in one of those malls you posted minutes ago, usiishie kuzigoogle tu, maana watu wengi a saturday afternoon is filled with activities za kurelax, sio kupost vitu kuonyesha chuki. Tafuta vitu vya kufanya, go watch a movie, shop, kama una garden kwenye back yard kamwagilie maua, nenda gym, au meditate
What kind of fun? because I know that if i'm having fun I wouldn't have the time to post silly picturesAm at Two Rivers mall having fun dude
Yesu shuka , eastleigh ninayoijua mimi? hahahahahaha eastleigh yenye wasomali wengi si ndo unayoongelea au kuna eastleigh nyingine nairobi? maana mimi ninayoijua ni hiiAFTER CBD,UPPERHILL,WESTLANDS AND KILIMANI,,,,,,EASTLEIGH COMES TO BE THE NEXT BUSINESS HUB IN NAIROBI
View attachment 1087950
View attachment 1087953
View attachment 1087954
View attachment 1087968
Kwani waijua kivipi,si useme hapaYesu shuka , eastleigh ninayoijua mimi? hahahahahaha eastleigh yenye wasomali wengi si ndo unayoongelea au kuna eastleigh nyingine nairobi? maana mimi ninayoijua ni hii
View attachment 1087971View attachment 1087972