Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivyo vijumba ukiviunganisha kutoa jengo moja havifikii ukubwa wa MLOGANZILA
Hio ni part moja to kaka nmepost,yote iko hivi
images (15).jpeg
 
Sema hamna si ati mliondoa, kama mliondoa mbona mnajenga tena?

img_9586-jpg.1086767


Hapo kwenye junction zamani kulikuwa na roundabout kubwa ila mwaka 1992 waliiondoa na kufunga taa za barabarani baada ya kuitanua Upanga road na kuibadilisha jina kuwa Ali Hassan Mwinyi. Hiyo barabara iliyokuwa blocked (zamani hapo tulikuwa tunapaita "Peugeot") ulikuwa unaweza nyoosha mpaka Azikiwe st ambapo napo kulikuwa na roundabout nyingine.
 
Biggest mall in Kenya 3D satellite images
1.TWO RIVERS


1087819


2.GARDEN CITY

1087832


3.THE HUB KAREN
1087838


4.THE JUNCTION

1087844


5.VILLAGE MARKET
1087849


6.SARIT CENTRE

1087851


7.WESTGATE

1087853


8. GALLERIA

1087854


9.GREENSPAN

1087855


10. BUFFALO MALL,NAIVASHA

1087856
 
Back
Top Bottom