Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMO , I have been longing for Azikiwe Street to be the kinds of Times Square . People walking from Maktaba square all the way to Post ya Zamani square park passing Askari Monument.

Or if they fail on this street , Then Sokoine drive , from railway station to Posta ya zamani square garden even extend to the fish market .

One day was invited at MNRT( Ministry Of Natural Resources and Tourism) For Tourism product audit report and discussion. I had a chance to suggest Dar Es Salaam City Tourist routes and related products .
They were noting some important notes from each contributor. I’m happy they took a note of everything i suggested . Never felt useful than that day 🤣🤣🤣🤣.

View attachment 972452

View attachment 972453
No this is the type of influencers TZ needs. #yajayoyanafurahisha
 
Juzi hiii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]3b usd

Jana hiii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] 146b tsh

Leo hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] 234b tsh

Keshokutwa hizi mbili[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] Ndani ya siku nne tanzania inafanya maajabu ambayo yangeichukua kenya 20yrs ukichanganya na ufisadi may b 30yrs[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatamani kukupiga mawe lol!!!
 
Kwa mtu anaezama kwenye dimbwi la tope, kadri anavozidi kufurukuta ndivyo anavyozidi kuzama. Hiki ndicho kinachowatokea wakenya baada ya kushindwa batle ya nairobi vs Dar, sasa wanaendelea kufurukuta na hapo ndio watajikuta kwenye ponti ambapo hawawezi tena
 
In short wameshashindwa na huu uzi ni kithibitisho
 
Kama ile ya Mombasa, ipo ndani ndani inabidi mtu apande bus nakutumia kama lisaa limoja kufika town. Kibaya hamna route ya mabus, kuna vi shuttle na ni very expensive. Watu wamelalamika sana.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sasa ukiona barabara inayaoenda kwenye Mombasa terminal ndio utachanganyikiwa, Barabara ni vumbi tupu full madimbwi na kuna jam ya hatari, unashindwa kuelewa walikua wanafikiria nini wakati wanejenga terminal huko.

Dodoma terminal ya SGR hapo hapo wanaweka tram imakupeleka kama ni Airport au bus terminal au kwenye streets za jiji nachelea kusema in the future Dodoma itakua mwiba kwa Dar
 
Hii ndio plan ya government city Ihumwa Dodoma

Tayari ujenzi umeanza kwa wizara na taasisi za serikali

Utakua ni the first inclusive government city in Africa ambapo shughuli zote za serikali zinafanyika mahali pamoja.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
 
Hii ndio plan ya government city Ihumwa Dodoma

Tayari ujenzi umeanza kwa wizara na taasisi za serikali

Utakua ni the first inclusive government city in Africa ambapo shughuli zote za serikali zinafanyika mahali pamoja.
Dodoma itakua kama Washington D.C, kuna vitu vingi wamevichota huko.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio plan ya government city Ihumwa Dodoma

Tayari ujenzi umeanza kwa wizara na taasisi za serikali

Utakua ni the first inclusive government city in Africa ambapo shughuli zote za serikali zinafanyika mahali pamoja.

Hii kali
 
Of course hilo lipo wazi, sasaivi ni sawa na yule mtu aliechezea nakos za maana sasa analia huku akisema nikija na kigali tunakupiga wewe. So now its (Nairobi and Kigavi) vs Dar es Salaam

Siku zote wamekuwa na mtizamo hasi juu ya majiji mengine EA,wakidhani ni watu special sana kuweza kuwa na mji kama nairobi.wasijue mahali popote ambapo kuna watu wengi haliharibiki jambo.

Right wangejua since day one ya huu uzi wangeachana nao,maana si tu umewapora furaha na matumaini bali pia umewapa hofu,kwamba inawezekana hata uchumi tunaoandikiwa wa $56b unatakiwa uhakikiwe[emoji23][emoji23][emoji23],kuna mahali tz tunaiba karata[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️[emoji1322]‍♂️.

Maendeleo dsm sio swala la kuamua,ni kitu given sababu ya nyomi ya watu,kama jua linavyochomoza ukitarajia lizame tu.
 
Sure, uchumi wa kuandikiwa siuamini na unatoa faraja za kijinga, hao watu hiyo idadi yenyewe wanayosema tuko 56M sidhani kama ina ukweli nikikumbuka jinsi sensa ilivokua na vikwazo. So honestly siadhani kama wana data sahihi kuhusu uchumi wa TZ, mimi nitakubali kuwa sisi ni maskini pale nitakaposikia kuna watu au mifugo TZ inakufa kwa kukosa chakula kitu ambacho tunajua hamna na kilichobaki ni kuimarisha vituo vya afya na dawa swala ambalo ndio serikali inachangamkia now na kungekua na hao watu wenye njaa Magu angepeleka chakula fasta. Tunajua ni jinsi gani majirani zetu wamekua wakitangaza product kutoka kwetu kuwa ni za kwao swala ambalo linaongeza takwimu ya kuexport na hatimae uchumi mkubwa
 
Back
Top Bottom