Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

let's crack some jokes kidogo.

masikini diamond platnumz, relationship yake na haka kademu ka kikenya haijafikisha hata one month, mikosi imeanza kumuandama.

serikali ya tz imemzuia kutumbuiza ndani na nje ya tz.

naanza kuamini kauli za wazazi wangu they use to tell me when i was in my 20s.

walikuwa wananiambia niwe makini sana katika kuchagua msichana wa kudate naye, kwasababu wasichana wengine wana laana za koo zao zinazokaribisha umasikini.

huyu sio mwanamke wa kudate naye na kufikiria kuanzisha family. ukiwa naye kwenye mahusiano lazima utaandamwa na mikosi.

kama una ajira, basi out of nowhere unaweza ukapewa barua ya kuachishwa kazi.kama una business yako, inaweza kufa ghafla na ukafilisika kabisa.

View attachment 972416
Huu utani wa ngumi.
 
Went for a photowalk with my Asian friends ( They Don’t drink and don’t eat beef ) Enjoyed this walk because after we finished to shoot each item , Mimi nilikua naachiwa kuangamiza kila kitu bila kubakisha . I wish to have more photowalks of this kind in the whole 2019.


Mixed photos taken with a phone and Camera ( spot photo quality)


View attachment 972358


View attachment 972359


View attachment 972360


View attachment 972361


View attachment 972362


View attachment 972363
hats off bro.
you have been our dedicated worrior since day one.
keep up the good work.
IMG_20181219_183148.jpeg
 
Nona Times square vibe inakuja Dar

IMO , I have been longing for Azikiwe Street to be the kinds of Times Square . People walking from Maktaba square all the way to Post ya Zamani square park passing Askari Monument.

Or if they fail on this street , Then Sokoine drive , from railway station to Posta ya zamani square garden even extend to the fish market .


One day was invited at MNRT( Ministry Of Natural Resources and Tourism) For Tourism product audit report and discussion. I had a chance to suggest Dar Es Salaam City Tourist routes and related products .
They were noting some important notes from each contributor. I’m happy they took a note of everything i suggested . Never felt useful than that day 🤣🤣🤣🤣.



IMG_6165.JPG



IMG_6173.JPG
 
Na inenda sambamba na ile project ya tram ndani ya dodoma tayar iko under the carpet
Hiyo naisikia sikia.. chuma kikihamia huko ndiyo balaa juu ya balaa. Magu ni bingwa kwenye sekta ya ujenzi nazani dunia nzima hamna kama yeye, ila Uhuru ni bingwa wa kupiga pesa, ameikamua Kenya vilivyo by the time anasepa kenya itakua jimbo la China.
 
Back
Top Bottom