ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Alaf utaskia wanakwambia walijenga kwa plan😂😂😂😂😂 ukimuuliza slums zilitokea wapi wanakasirikana kupost picha za congo na nigeria wakisema darpole kwao.
View attachment 972755
Alaf utaskia wanakwambia walijenga kwa plan😂😂😂😂😂 ukimuuliza slums zilitokea wapi wanakasirikana kupost picha za congo na nigeria wakisema darpole kwao.
View attachment 972755
Hahaha watu mnamaneno.View attachment 972701
hapa ni km 45 kutoka dar
nimependa nyasi zilivyotulia ukizingatia hazitakuwa zikipigwa na moshi wa diesel.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ichoboy jamaa uko waliko usiku wakilala wanakuota unawakimbiza na upanga [emoji3][emoji3][emoji3]Stiglers gorge imewakimbiza wakenya alaf mbaya waliposkia ni pesa za magu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshangaa kuskia magu katoa 3b usd for stiglers gorge alaf waliposkia na phase one SGR 1.2b usd imetolewa na tanzani raha zimewaisha kabisa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ichoboy jamaa uko waliko usiku wakilala wanakuota unawakimbiza na upanga [emoji3][emoji3][emoji3]
WANAKIMBILIA MAENDELEO WASIKIA UZINDUZI WA DAR-KIBAHA NA SARENDER WAMEKUJA KUSHUHUDIA 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀nyumbu wameamua kurudi kwenye makazi yao ya kudumu... [emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 972728
😁😁😁[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ichoboy jamaa uko waliko usiku wakilala wanakuota unawakimbiza na upanga [emoji3][emoji3][emoji3]
UMEPATIA😛😛😛😛😛😛Hahaha watu mnamaneno.
Kwamba wenzetu Wana gari moshi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Alaf utaskia wanakwambia walijenga kwa plan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukimuuliza slums zilitokea wapi wanakasirikana kupost picha za congo na nigeria wakisema dar
View attachment 972701
hapa ni km 45 kutoka dar
nimependa nyasi zilivyotulia ukizingatia hazitakuwa zikipigwa na moshi wa diesel.
😂😂😂😂 Baba mturuki Mungu amuweke, wanatupa vitu konki sijapata onaView attachment 972701
hapa ni km 45 kutoka dar
nimependa nyasi zilivyotulia ukizingatia hazitakuwa zikipigwa na moshi wa diesel.
Nimeangalia hii via duct aisee hawa jamaa achana nao👇👇👇👇😂😂😂😂 Baba mturuki Mungu amuweke, wanatupa vitu konki sijapata ona
Dah hatari sana, hiyo structure features zake tu inakupa picture hii kitu ni concrete kinoma, kwenye terminals ndio itakua balaaNimeangalia hii via duct aisee hawa jamaa achana nao👇👇👇👇
View attachment 972893