thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Safi sana, hiyo rail inayo katiza town mimi inanipa raha sana.. mkuu umejuaje kuwa ni six lanes? Dodoma siyo paku paacha hivi hivi unaeza chekwa baadae.Another six lanes
View attachment 972250
Safi sana, hiyo rail inayo katiza town mimi inanipa raha sana.. mkuu umejuaje kuwa ni six lanes? Dodoma siyo paku paacha hivi hivi unaeza chekwa baadae.Another six lanes
View attachment 972250
nisaidieni kuwatag
View attachment 972282




Hahaha yaani pesa ndefu wanapewa Mitunginisaidieni kuwatag
View attachment 972282
Safi sana, hiyo rail inayo katiza town mimi inanipa raha sana.. mkuu umejuaje kuwa ni six lanes? Dodoma siyo paku paacha hivi hivi unaeza chekwa baadae.
SGR Progress Morogoro to Dodoma/ Makutopora...!! Je mnafahamu kuwa Makutopora ipo kwenye mpaka wa Singinda na Dodoma?? That means SGR phase 2 inaishia kwenye mpaka wa Dom na Singinda...!!👏👏👏👇👇👇
Ebanee hiyo Dom si itakua balaa!! hiyo train ya umeme ikianza tu trip tu Dom itakua hamna kurudi nyuma.. Dom ita ipiku Nai nakua jiji namba mbili East Africa.Mkurugenzi wa Dodoma ndio katoa hiyo facts tena kwa msisitizo kuwa kwenda tatu kurudi tatu, msikilize:
Ebanee hiyo Dom si itakua balaa!! hiyo train ya umeme ikianza tu trip tu Dom itakua hamna kurudi nyuma.. Dom ita ipiku Nai nakua jiji namba mbili East Africa.
No, Nairobi itakua namba tatu:Ebanee hiyo Dom si itakua balaa!! hiyo train ya umeme ikianza tu trip tu Dom itakua hamna kurudi nyuma.. Dom ita ipiku Nai nakua jiji namba mbili East Africa.
Mkurugenzi wa Dodoma ndio katoa hiyo facts tena kwa msisitizo kuwa kwenda tatu kurudi tatu, msikilize:
Afu wajinga wanaifananisha Hii na takataka ya Mombasa!!
Bata in the city that never sleepsWent for a photowalk with my Asian friends ( They Don’t drink and don’t eat beef ) Enjoyed this walk because after we finished to shoot each item , Mimi nilikua naachiwa kuangamiza kila kitu bila kubakisha 🤣. I wish to have more photowalks of this kind in the whole 2019🤣🤣🤣🤣.
Mixed photos taken with a phone and Camera ( spot photo quality)
View attachment 972358
View attachment 972359
View attachment 972360
View attachment 972361
View attachment 972362
View attachment 972363
Bata in the city that never sleeps
That was my point, Dar, Dom then Nai. Yani Dom ina ipiku Nai nakuwa namba 2.No, Nairobi itakua namba tatu:
Now DSM ndo namba 1. Top 10 Most Beautiful Cities In Africa | Africa Facts



😀😀😀😀let's crack some jokes kidogo.
masikini diamond platnumz, relationship yake na haka kademu ka kikenya haijafikisha hata one month, mikosi imeanza kumuandama.
serikali ya tz imemzuia kutumbuiza ndani na nje ya tz.
naanza kuamini kauli za wazazi wangu they use to tell me when i was in my 20s.
walikuwa wananiambia niwe makini sana katika kuchagua msichana wa kudate naye, kwasababu wasichana wengine wana laana za koo zao zinazokaribisha umasikini.
huyu sio mwanamke wa kudate naye na kufikiria kuanzisha family. ukiwa naye kwenye mahusiano lazima utaandamwa na mikosi.
kama una ajira, basi out of nowhere unaweza ukapewa barua ya kuachishwa kazi.kama una business yako, inaweza kufa ghafla na ukafilisika kabisa.
View attachment 972416
tutaelewana tu... wanachezea nchi iliyopitia misingi ya kijamaa hawa.PPF HQ, PSP zote, Viva Tower , NHC Seven eleven , NHC Morocco square na nyingine nyingi ni Estim Construction. Anatoa vitu matata sana .