Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Sure, uchumi wa kuandikiwa siuamini na unatoa faraja za kijinga, hao watu hiyo idadi yenyewe wanayosema tuko 56M sidhani kama ina ukweli nikikumbuka jinsi sensa ilivokua na vikwazo. So honestly siadhani kama wana data sahihi kuhusu uchumi wa TZ, mimi nitakubali kuwa sisi ni maskini pale nitakaposikia kuna watu au mifugo TZ inakufa kwa kukosa chakula kitu ambacho tunajua hamna na kilichobaki ni kuimarisha vituo vya afya na dawa swala ambalo ndio serikali inachangamkia now na kungekua na hao watu wenye njaa Magu angepeleka chakula fasta. Tunajua ni jinsi gani majirani zetu wamekua wakitangaza product kutoka kwetu kuwa ni za kwao swala ambalo linaongeza takwimu ya kuexport na hatimae uchumi mkubwa
Kwa wale ambao hamjui ni kuwa, Tanzania ni ya kwanza East Africa kwa kuproduce mazao ya chakula ila Kenya ni ya kwanza kwa kuexport mazao ya chakula, mwezi march shirika letu la ndege lilikaa na wafanyabiashara wetu waliokua wanaenda kuexport nafaka kenya ili wawe na sera ya pamoja jinsi ya kusolve hilo swala na ndio maana wamekamilisha cargo termina mwanza airport na watafanya hivyohivyo songwe airport na cargo teminal kubwa itajengwa msalato dodoma. Kwa kifupi tukiweza kuregulate usafiri wa anga na majini kwa kuexport vitu kutoka kwetu moja kwa moja hizo hesabu zao za assumptions zitakaribia kwa kiasi fulani kubainisha ni jinsi gani Tanzania ni tajiri until then those accuracy of those statistics is lower than 40%. tunajua ni jinsi gani dalali anavyofaidikaga