Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Juzi hiii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]3b usd










Jana hiii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] 146b tsh












Leo hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] 234b tsh












Keshokutwa hizi mbili[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]








[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] Ndani ya siku nne tanzania inafanya maajabu ambayo yangeichukua kenya 20yrs ukichanganya na ufisadi may b 30yrs[emoji23][emoji23][emoji23]
Ichoboy hua sio mtu mzuri kabisa kwa Nyang'au [emoji23][emoji23]
 
Taarifa rasmi ;kwa sasa Tanzania kuna jumla ya 12,453 km ya barabara zenye lami!!!
20181220_153337.jpg
20181220_153345.jpg
20181220_153418.jpg
 
kitu nilichopenda zaidi stesheni zetu kubwa karibu zote ziko mjini, maana yake malls na biashara zingine zitaendelea kama kawaida na tunaweza tumia kwa ajili ya commuter train, unaweza toa watu Pugu unawaleta city centre tofauti na kenya, nairobi na mombasa terminal ziko nje hivyo zinatumika pale kunapokuwa na safari za train tu, ni wastage of money kwa majengo yale kuwa idle muda mrefu.
Kama ile ya Mombasa, ipo ndani ndani inabidi mtu apande bus nakutumia kama lisaa limoja kufika town. Kibaya hamna route ya mabus, kuna vi shuttle na ni very expensive. Watu wamelalamika sana.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom