uzi huu uliwekwa huku strategically. unajua huwa inaleta furaha sana "kumnyorosha" adui yako katika eneo la nyumbani kwake.
kenyaforum ni forum iliyowekwa mahsusi ili kujadili masuala ya kenya. ila sisi tunaitumia kuwanyorosha kwa kuwaonyesha maendeleo ya tz.
pili, hii kenyaforum isingekuwa active bila sisi watz kuamua kuweka uzi huu. nakumbuka miaka ya nyuma around 2011-2016, this forum was very boring.
hii battle ndio imefanya baadhi ya wakenya kuamua kufungua account jf na kushiriki katika debate.
na kwa taarifa tu, hii ndio thread inayosomwa na kufatiliwa zaidi hapa kenyaforum kuliko thread zote.
mpaka sasa imeshafikisha 3 million views. hii haijawahi kutokea, inshallah ikifika 2025,views itakuwa fifteen million plus

.
View attachment 957084
wakenya wamejaribu kila mbinu ya kuanzisha v-thread uchwara ili kupoteza mvuto wa thread hii, wameshindwa. wabebaki kurusha vijimaneno vya jazba kwa moderator.