komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo nchi yenu ilibakisha nyumbu tu...je amerika tusemeje,si ingelikuwa shithole sai kw vile vita vyao na waarabu miaka yote hyo....kubalini tu nynyi ni wavivu wa akiliSio SA and uganda kuna angola, mozambique,zimbabwe, zambia, malawi, congo, rwanda na burundi , comorro tulitumia nguvu na mali zetu kwasababu mwalimu hakua mbinafsi chakuskitisha mlivopata uhuru mukajitenge kivyenu je miaka 40 ziko wapi developments[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli MUNGU sio athumani