Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndiyo maana al shabab huwa wanawanyoosha wakenya ,,,hebu tizama hilo afande lilivyozubaa baada yakuchapa kazi iliyompeleka anabaki kutoatoa njicho chek alivyozubaa

Kenyan security ni Zero 0000
Hahaha hapo ame escort Mzungu kwenda kupiga picha slums
Screenshot_2018-12-03-11-47-28.png
 
Lol,ichoboy akizidiwa anaanza kutukana watu. Nataka ushahidi kwamba Tanzania ilikuwa ikipigana vita vya kuzikomboa nchi za afrika miaka kumi iliyopita.La sivyo, funga mdomo.
Ten years ago, tz,was enjoying peace .kipindi hiki Kenya there was post_election violence which affected the economy. If you didn't surpass Kenya back then,forget about doing it. Also, terror attacks have had a negative impact on the GDP growth but still Kenya keeps soaring high.Gap yaendelea kupanuka . 2015-$63b vs $46b
2018 $88b vs $55b. ..... LolView attachment 957626

Sasa hapo ndio mimi hutofautiana na wewe, licha ha mapenzi yaliyopo kati yetu,
Unapoorodhesha hayo mafanikio ya Tanzania, ujue na hiyo amani iko ndani yake, do u think the pease we enjoyed all days came from Yehova Wanyonyi the god Of all Kenya?? the answer is No, ujinga wenu ndio umepelekea mko kwenye nchi ya hovyo ambayo kila uchaguzi huondoka na mamia ya maisha ya wakenya, There was a holly cost of time, brain and money involved in building this unity, love and peace, dont take it for granted,
Just blame your First president for not doing this.
 
msumari huo comrade
 
Ndiyo maana al shabab huwa wanawanyoosha wakenya ,,,hebu tizama hilo afande lilivyozubaa baada yakuchapa kazi iliyompeleka anabaki kutoatoa njicho chek alivyozubaa

Kenyan security ni Zero 0000
Umekumbuka kituo cha polisi pale kijijini Dar kilipovamiwa na wakora na kuwatandika jeshi la polisi mle tena wakatoroka na bunduki na siraha zingine?
 
Back
Top Bottom