Sasa hapo ndio mimi hutofautiana na wewe, licha ha mapenzi yaliyopo kati yetu,
Unapoorodhesha hayo mafanikio ya Tanzania, ujue na hiyo amani iko ndani yake, do u think the pease we enjoyed all days came from Yehova Wanyonyi the god Of all Kenya?? the answer is No, ujinga wenu ndio umepelekea mko kwenye nchi ya hovyo ambayo kila uchaguzi huondoka na mamia ya maisha ya wakenya, There was a holly cost of time, brain and money involved in building this unity, love and peace, dont take it for granted,
Just blame your First president for not doing this.