Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha please show me what you have in terms of real estate. You post and I reply with the ones in Nairobi.
Wanjala sialikuja juzi Dar akawa anasema kuna mijumba aliiona akatamani iwe uko Nairobi. ..ongea vizur nae akusimulie
 
Do you understand the meaning of " UNDOCUMENTED SLUM"?
Niletee official source kua google earth imetaja atleast one slum in dar ukipata niambie nifunge account jamii forum
Maana munamuona mzungu mjinga sana
8070A9BC-1740-423C-9477-70DAAC6D210B.png
 
Wanjala sialikuja juzi Dar akawa anasema kuna mijumba aliiona akatamani iwe uko Nairobi. ..ongea vizur nae akusimulie
I have been here all along and I have never seen any attractive house in Dar outside CBD
 
Ok, let me say it in layman's language. Is Dar wealthier than Nairobi?

Sasa kwa akili yako ndogo sana viwanda na kila kitu cha kenya kiko nairobi yani kwa kifupi kenya nzima ni nairobi, ila kwq tanzania hatufanyi upuuzi huo lazma tuhakikishe kila part of tanzania viwanda vinafika na kila utajiri wa eneo unaoenaka, lakini kwenye utajiri wa majengo mutasugua gaga mpaka yesu ashuke😂😂😂😂

World Bank values Dar’s real estate $3b more than Nairobi
 
Sasa kwa akili yako ndogo sana viwanda na kila kitu cha kenya kiko nairobi yani kwa kifupi kenya nzima ni nairobi, ila kwq tanzania hatufanyi upuuzi huo lazma tuhakikishe kila part of tanzania viwanda vinafika na kila utajiri wa eneo unaoenaka, lakini kwenye utajiri wa majengo mutasugua gaga mpaka yesu ashuke

World Bank values Dar’s real estate $3b more than Nairobi
When will you expel yourself from bringing half a decade links here? We are in 2018 young goon.
 
Back
Top Bottom