Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
hata uku ipo mim nimekuchokoza tu.......usijijazeUpande mmoja ni Nairobi National Park na upande mwengine ni mtaa wa Kifahari wa Karen ulioko pembeni mwa jiji la Nairobi. Kila siku sisi huwaeleza Nairobi si hiyo 696km^2 mnayoshinda mkiimba humu hamusikii. Nairobi imekua hadi nje ya hizo 696 alafu Nairobi mitaa ya kifahari miti imehifadhiwa unaweza dhani ni msitu vile. Nikikutembeza Karen, Muthaiga, Spring valley, Kitisuru etc utadhani nimekupeleka porini maana ni bara bara tu katikati ya miti na ndege kuimba - mazingira yaliyotulia utadhani ni Safari Lodge vile. Ukitaka kuitazama hii mitaa vizuri inabidi upande chopper ndio uione ilivyopangwa na kujengeka.
