Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Around Galleria Mall
13525304_1068557263232058_1258901787_n.jpg

13534586_949955288446372_340837320_n.jpg
 
Video gani hizo zinazo shutiwa Kenya ? Na wabongo
Nilisema wasanii wa Kenya hushoot video hapa Nairobi bi. Sijaona Video moja ya msanii bomba wa Tz akishoot video Dar, Kama ipo, naomba nionyeshwe. Kama hawawezi kumarket Nchi yao, nani atafanya hayo?

Msituhukumu, nadhani tuna uzalendo kuliko mlio nao nyinyi wabongo. Wimbo kama huu bado ukitazama utaona flag ya Kenya, ameufanyia kwa Nairobi archives
 
Angalia hii video. Hiyo ni dar sio NY. Mkiona video mnadhani so Dar. Hamuamini mnachokiona. Hiyo ni avic town kigamboni
 
Daaah! Kijana huyu ana talent kweli, hivi anayumbisha beat safi sana!!! kimtindo huyu nampa 10/10!! Kazi yake mzuka

Lakini Pazii, acha kutia chuku, hakuna mtu anaweza confuse hiyo place na NY, hata hawezi sema Nairobi, Markech ama Joburg, hapo bado sana. Hiyo ni kulingana na ulivyoandika wewe.

Ila kwenye mziki wa huyu kijana naukubali kabisa! Mbonge la ngoma!!
 
Diamond ameinua uchumi wa nchi yenu???
ndyo na si yeye peke yake bali hata mimi pia na kila mwananchi hapa duniani anainua uchumi wa nchi yake hata wew ni moja ya nyenzo hapo kenya inayoinua uchumi...
siku nyingine usiwe na maswali ya kijinga mwananchi ndye anayeinua uchumi diamond ni mwananchi wa kawaida kama watu wengine na sanaa ndyo nguvu kazi yake inayochangia pato la taifa nakuutengeneza uchumi
 
Daaah! Kijana huyu ana talent kweli, hivi anayumbisha beat safi sana!!! kimtindo huyu nampa 10/10!! Kazi yake mzuka

Lakini Pazii, acha kutia chuku, hakuna mtu anaweza confuse hiyo place na NY, hata hawezi sema Nairobi, Markech ama Joburg, hapo bado sana. Hiyo ni kulingana na ulivyoandika wewe.

Ila kwenye mziki wa huyu kijana naukubali kabisa! Mbonge la ngoma!!
Yaah. Huyo ni young D (young Dar es salaam). Video pia ni nzuri sio tu wimbo. Napenda sana hii video.
 
ndyo na si yeye peke yake bali hata mimi pia na kila mwananchi hapa duniani anainua uchumi wa nchi yake hata wew ni moja ya nyenzo hapo kenya inayoinua uchumi...
siku nyingine usiwe na maswali ya kijinga mwananchi ndye anayeinua uchumi diamond ni mwananchi wa kawaida kama watu wengine na sanaa ndyo nguvu kazi yake inayochangia pato la taifa nakuutengeneza uchumi
Anashoot video mob south Africa sasa nani anafaidika zaidi
 
Nilisema wasanii wa Kenya hushoot video hapa Nairobi bi. Sijaona Video moja ya msanii bomba wa Tz akishoot video Dar, Kama ipo, naomba nionyeshwe. Kama hawawezi kumarket Nchi yao, nani atafanya hayo?

Msituhukumu, nadhani tuna uzalendo kuliko mlio nao nyinyi wabongo. Wimbo kama huu bado ukitazama utaona flag ya Kenya, ameufanyia kwa Nairobi archives

tafuta video ya bilnas ft mwana fa mazoea
tafuta video ya g.nako x jux na quick racka watabamba

tafuta video ya ben pol wakati wako ndyo leo

tafuta video ya qeen darlin ft ray van kijuso

tafuta video ya harmonize ft rich mavoko show me

na zipo kibao tu nyingi na kuna nyingine director wabongo lakin tumewachukua na kwenda kushhot nao nnje...wew si mfatiliaji mziki bora uwe mkulima yaani unaangalia kenya tu ....ndyo maana haujui vingi vinavyoendelea
 
hyo ni nairobi kweli mbona polini uko

Upande mmoja ni Nairobi National Park na upande mwengine ni mtaa wa Kifahari wa Karen ulioko pembeni mwa jiji la Nairobi. Kila siku sisi huwaeleza Nairobi si hiyo 696km^2 mnayoshinda mkiimba humu hamusikii. Nairobi imekua hadi nje ya hizo 696 alafu Nairobi mitaa ya kifahari miti imehifadhiwa unaweza dhani ni msitu vile. Nikikutembeza Karen, Muthaiga, Spring valley, Kitisuru etc utadhani nimekupeleka porini maana ni bara bara tu katikati ya miti na ndege kuimba - mazingira yaliyotulia utadhani ni Safari Lodge vile. Ukitaka kuitazama hii mitaa vizuri inabidi upande chopper ndio uione ilivyopangwa na kujengeka.
 
Anashoot video mob south Africa sasa nani anafaidika zaidi
ukishakuwa international kuna mazingira yanabidi tu mfano collabo na p.square,neyo.mr flavour wale wote walikuwa south na lazima imbidi kufanyia kule ili abalance cost huwezi mtoa msanii nnje kizembe zaidi utapata demage tu.....na kingine kwa hapa east africa hatupo vizuri kwa upande wa directors na vifaa vya shooting ikiwemo camera na lights wenzetu wametuzidi ukitaka proffesional video kwa hapa east africa hatupo powa sana ....ndyo maana hata video nyingi ukiziona na ukilinganisha na wenzetu zetu utazijua tu.....

na ukizichek kwenye big screen tv zile wanazotumia international tv kukagulia video kuna makosa mengi ikiwemo ukungu na vivuli kwenye video ambapo kwa tv za kawaida huwezi ona

ila kwa sasa tunajitahid kwa video

Back
Top Bottom